Fundi_Mjasiriamali
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 748
- 1,340
mkuu leo ni jumatano ya majivu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie wanawake mkianza kuliwa na washkaji wengine ni tatzo ukinogewa uko kinachofuata no matukio tu huwa hamuwezi kabsa kucontrol hisia zenuKwani nae mtoa mada ni muaminifu
Msamehe tu..kosa si kosa ila kuridia kosa ndiyo kosa.
[emoji16][emoji16][emoji16] kajiwekea option yakusikia kile anacho takaKwa kuwa na wewe unamsaliti unataka tukushauri umsamehe?
Na wewe msamehe tu mkuu muendelee kuziniNipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.
Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli,, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu. Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!
Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.
Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.
ASANTENI.
kuchapiwa kunauma bana,,imagine siku ile katoka huko walikoenda akafikia kwangu anasema amenimisi kishenzi nikafanya nae,kumbe huko katoka kubinuliwa na jamaa mwingne, wanawake mungu anawaona.Unaonekana ushasamehe huna la kufanya zaidi ya hilo.
Kama una maleno nae achana nae ila kama ni wa kupita tu hiyo sio sababu ya kumuacha.
Ila kwa wewe una moyo mwepesi kichizi, sasa hayo mambo ya kumbana akwambie ukweli na huwezi kuumudu ya nini sasa!!
Wewe una madem zaidi ya 3, na hakuna kati ya hao uliemuoa sasa huko kuchapiwa kunakuumaje mkuu, yani unataka uwamiliki wote 4 na uwatimizie kila kitu utaweza??kuchapiwa kunauma bana,,imagine siku ile katoka huko walikoenda akafikia kwangu anasema amenimisi kishenzi nikafanya nae,kumbe huko katoka kubinuliwa na jamaa mwingne, wanawake mungu anawaona.
Usaliti ni usaliti kwa hiyo nyinyi mnao we za kucontrol hisia iko sawaNyie wanawake mkianza kuliwa na washkaji wengine ni tatzo ukinogewa uko kinachofuata no matukio tu huwa hamuwezi kabsa kucontrol hisia zenu
sasa ndo nnayempenda kati ya hao wanne, si unajua unaweza ukawa na madem ata kumi lakini yupo mmoja tu kati yao ndo unampenda kuzidi wengine,sasa ukigundua si utaumia,,na ndo kilichonitokea mimi hadi nimeshindwa kufanya maamuzi sahihi,ndo nikaja huku kupata ushauri wenu afu niuchambue nipate maamuzi.Wewe una madem zaidi ya 3, na hakuna kati ya hao uliemuoa sasa huko kuchapiwa kunakuumaje mkuu, yani unataka uwamiliki wote 4 na uwatimizie kila kitu utaweza??
Stress za kijinga namna hiyo huwa mnajitaftia tu, ndio maana nkakwambia kama una malengo nae unaweza kuumia ila kama ni wa kupita unaumia nini sasa??