haya asante.Hilo ni jambo jepesi sana tumia falsafa za Putin, kusamehe ni kazi ya Muumba wake...wewe jukumu lako ni kumfikisha kwa Muumba wake ili asemehewe
View attachment 2136363
This is a symmetrical match, congratulation, do not dump her. Ndege wafananao uruka pamoja.Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Nipe namba yake nimkomesheNipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.
Mtongoze upya. Then refresh mawazo kama umechapiwa maana nawe umechapa nje.lakini kati ya wanawake wangu nilionao huyu ndo nnampenda na ndo nna malengo nae
Usitarajie mabadiliko yoyote kwake.sijui mimi nachohitaji ni ushauri tu.
Nimushauri nini? Wewe lipiza kisasi tu roho yako Itulie.kwa umri wako nategemea ushauri wako mkuu.
Mvumilie tu huku ukiishi nae kiakil, that's all my dearushauri wako ni nini LINDA
Mdinye tena hadi akili imkae sawatayari leo nimedinya mwingne lakini yeye nimchukulie uamuzi gani?