Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,647
Kuna kosa nilimkosea mpenzi wangu la kutumwambia ukweli kwa baadhi vitu vyangu hivyo baada ya muda aligundua nilikuwa namdanganya
Since alivyogundua amekuwa mkali kwangu mkorofi lakini pia lililonistua zaidi ni matumizi ya lugha ya matusi ambayo Imenifanya nione rangi zake halisia
Licha ya yote hayo nilijaribu pia kumuomba msamaha kwa yote Niliomkosea kwake bado hajarudi kwenye uhalisia wake wa uzamani
Nifanyeje wana jf maana naona tunapoelekea sio pazuli