Mpenzi wangu amenibadilikia mpaka nimeona uhalisia wake

Mpenzi wangu amenibadilikia mpaka nimeona uhalisia wake

Angekuwa kwangu angetulia na angekuwa mpole kuliko kobe na hata kama kosa ningefanya mimi basi msamaha angeomba yeye, na kuhusu matusi asingethubutu kunitukana hata kimoyomoyo.

Wewe usiogope kumpoteza huyo kuku muonyeshe hata bila yeye maisha bado yapo, kuwa katili na jeuri zaidi yake na usimuonee huruma. fuata ule msemo unaosema dawa ya moto ni moto na dawa ya maji ni maji maana yake akiwa jeuri wewe mfuate na mfanyie jeuri na umuulize tatizo nini na abadalike mara moja au cha moto atakiona na ufanye kweli.

Vilevile akianza kubadilika na kupunguza ujinga na upumbavu wake basi na wewe badilika kuwa mwema kwake, psychologically subliminally au unconsciously ataanza kukusoma na kukuelewa kuwa akiwa jeuri basi wewe unakuwa mara mbili yake ila akitulia basi na wewe unatulia baada ya hapo wote mtakuwa mnacheza beat moja.

Akiamua kusepa basi ni juu yake na maana yake huyo alikuwa anakutumia tu na kukuendesha kama kondoo wake.
Huo ni muono na maoni yangu from psychological view.
 
Unaruhusu vipi kutukanwa na mwanamke, tena ni hawara tu? We mwenyewe unaonekana hujitambui.
 
KOSA KUBWA ULILOFANYA NI KUMWAMBIA UKWELI, MCHANGANYE KIDOGO
 
Back
Top Bottom