Unasemaje ukweli? Umeshaharibu, wanawake hawapendi kuambiwa ukweliKuna kosa nilimkosea mpenzi wangu la kutumwambia ukweli kwa baadhi vitu vyangu hivyo baada ya muda aligundua nilikuwa namdanganya
Since alivyogundua amekuwa mkali kwangu mkorofi lakini pia lililonistua zaidi ni matumizi ya lugha ya matusi ambayo Imenifanya nione rangi zake halisia
Licha ya yote hayo nilijaribu pia kumuomba msamaha kwa yote Niliomkosea kwake bado hajarudi kwenye uhalisia wake wa uzamani
Nifanyeje wana jf maana naona tunapoelekea sio pazuli
Haha mwambie huo ulikua wakati wa kampeni kama za CCM tuKama ulimdanganya kwamba huna nyumba, au kiwanja au gari wakati unamiliki Mali kibao basi atatulia ila kama ulimtongoza kwa gari la kuomba lazima rangi uzione.
Ukiona hujafikia hatua hiyo,Sema kuna wahuni haya mapenzi yanawatesa sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaah ***** ila wabongo ni tabu kwa kweli?Kama ulimdanganya kwamba huna nyumba, au kiwanja au gari wakati unamiliki Mali kibao basi atatulia ila kama ulimtongoza kwa gari la kuomba lazima rangi uzione.
Nishaumia ila sahivi ni kuchakata tu! Yani nikishachakata basi inatosha mambo mengine hayanihusu! Haya mapenzi ukiwa serious sana yatakutesa sana!Ukiona hujafikia hatua hiyo,
ujue wee kwny mapenzi bado hujaiva[emoji4]
Jamaa anaitwa mlugaluga halafu anabaki kujichekesha tu...Ulimdanganya nin kwani???? Mwanamke akishaanza kukutukana huyo sio wa kumchekeaa piga chinii