political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Yaani umchukie kaka wa damu sababu ya demu tu? Kwa taarifa yako hata huyo demu angeweza kukupiga na kitu kizito kupitia mtu mwingine yeyote! Na kukuongezea, kwa kuwa ndiyo kwanza umeanza, utapata demu mwingine, naye pia utachapiwa na msela flani tu, sasa utachukia watu wangapi?Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya
Unazungumzia demu wa dogo, wazee wamegonga demu za watoto wao, ukishajua unashea na mdingi unajitoa, pisi tu mbona! Maisha ni hayahaya!Dohh pole sana uyo demu ni silent killer mpunguze fasta na uyo ndugu yako nae ni snitch yani unajua kabisa uyu ni demu wa dogo then na ww unaenda apo apo mkuu wapunguze wote ..amevuka redline uyo ndugu yako ing3kuwa ni mimi namchana alafu kila mtu apite kule nyau nyau yani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yako ni snitch.Hayo maongezi yao, meseji inasema ni "bora niachane naye " amekusiliba vibaya mno.Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates iliyopitishwa na senate. Nikaambiwa niandike barua then nitaingizwa kwenye list mwaka unaofuata.
Ulipita mwaka mzima, siku chache kabla ya graduation ya mwaka uliofuata ambao ndio nilipaswa sasa nigraduate ilitoka list ya mwaka huo lakini jina langu halikuwepo. Ikanibidi niende chuoni kufuatilia.
Nilipofika chuoni na kuanza kufuatilia ndipo nilipokutana na binti huyu. Kiufupi yeye na mimi tulikuwa kwenye the same scenario na yeye hakuwemo kwenye list pia. Tulikutana kama bahati tu nikiwa kwenye kundi la watu nje ya ofisi ya head of department ambaye hakuwemo ofisini, nilishangaa binti mmoja mchangamfu ananifata moja kwa moja akiwa amenyoosha simu yake akanipatia na kuniambia
"Ongea na head of department mwambie tunamsubiri huku ofisini mimi naogopa"
Niliipokea ile simu na huo ndio ukawa mwanzo wa kujuana. Tulibadilishana mawasiliano na baadaye mahusiano yakazaliwa. Nilimpenda sana yule binti ukizingatia sikuwahi pata binti mzuri na smart kama yule maishani mwangu. Kwa bahati nzuri alipata kazi mkoa wa nyumbani kwetu ambako mimi pia ndio ninaishi. Ila yeye akawa anakaa wilayani mimi nakaa mjini. Kuna siku nikiwa kaka yangu yangu ambaye yuko likizo home huyu binti alinipigia na katika maongezi akaniuliza uko na nani nikamjibu niko na kaka yangu akasema hebu mpe simu nimsalimie sikuona shida nikampa wakaongea ila maongezi yalikuwa ya kawaida tu. Niwe muwazi hapa huyu kaka yangu huwa simpendi kihivyo kwa sababu ana tabia ya kuniongelea vibaya hivyo namheshimu tu kwa sababu ni ndugu.
Sasa juzi kuna shosti yake na huyu binti wanafanya kazi sehemu moja alinitumia picha whatsapp ambayo ni ya kaka yangu na kuniuliza kama ninamfahamu, nikamwambia huyo ni kaka yangu je picha yake umeitoa wapi? akajibu amenionyesha Frida (sio jina halisi) ambaye ndio huyo mpenzi wangu. Nilipata mashaka yeye na kaka yangu wamefahamiana vipi wakati wameongea kwa simu tu. Kiukweli mimi huwa sina tabia ya kumuamini mtu yeyote mpaka hapo nikahisi kuchapiwa. Nikawa namfatilia bro kimachale. Kuna siku bro alikuwa anaongea nje ya nyumba na simu nikamfatilia lakini katika maongezi nikabaini anaongea na huyu huyu binti. Usiku wa jana mida ya saa mbili ndio nimeona txt kwenye simu ya bro simu ikiwa lock ila ikaingia txt ya namba ya huyu binti. Txt inasema nanukuu
" Kweli bora niachane nae tu"
Nimemuuliza rafiki yake aliyenitumia picha hajafunguka ila kaniambia tu
" hayo ndio maisha Pacbig"
Nimeumia sana sijajua hata cha kufanya ila I think this is going to be the end of our brotherhood between me and my brother, I hate him more than I hate a devil.
Kiukweli sioni undugu na heshima yoyote kwa mtu anayeamua kumkunja mwanamke ambaye anajua kabisa ni wako.Pole mkuu, huyu mwanamke asiharibu undugu au heshima kati yako wewe na brother wako. Piga chini kwa hekima, kaa na bro kiutu uzima. Undugu na heshima ni muhimu zaidi kuliko huyo mwanamke. Sio mwaminifu huyo mwanamke...
Kaka yangu plus huyo binti they are all jerks. Unajua angeliwa hata na jamaa msiye na nasaba ningeona kawaida ila sio kaka wa tumbo moja kabisa, na anajua kila kituNo woman no cry ,
Don't trust a woman ,
Expect nothing good from the street Where We Dare To Talk Openly bitches
Wake up nakuona bado umelala , kaka yako Hana hatia Ni vile wewe umekuwa na mahusiano na Malaya na bado anaweza pitiwa hata baba yako . You never know them coz they don't know what they want
I can't withstand that kinda disrespect from my brotherUsimchukia kaka Yako katika maisha ndugu ni lazima kugombana,hata kama unebaini mahusiano kati Yao Cha msingi achana na uyo Binti ,usiendeleze chuki na nduguyo isiyo na mana co of uyo manzi....mpotezee kwanza inaonekana mtu mwenyewe anawachora wewe na uyo kaka Ako ,...
Sijui walikutanaje ila nahisi bro aliiba namba kwenye simu yangu. Kwa sababu siku ile nampa aongee naye alipomaliza aliniomba simu yangu atumie kucopy namba.Aliyeharibu ni kaka mtu sio binti, unless walishakuwaga na mahusiano kabla binti hajakutana na mshikaji.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ni rahisi sana kuzungumza.Hivi una akili timamu ww yaan unavunja undugu na bro kisa Malaya kweli??
baada kusoma mstali wa mwisho nimegundua u deserve that.
you're not strong enough to have her under control uko obsessed na love grow up dude
Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates iliyopitishwa na senate. Nikaambiwa niandike barua then nitaingizwa kwenye list mwaka unaofuata.