Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.

Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu

Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.

75+47+70+62=254​

Huenda ana idadi hiyo ya wanunuzi
 
Hivyo vitu ni used au vipya kabisa? Na kama ni vipya, vimetoka US, China,UK,Canada au Mbagala? Tuanzie hapo kwanza mkuu.
 
Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.

Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu

Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.

Sishangai sana hivyo vyote huenda vimetoka kwako
 
Back
Top Bottom