Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.

Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu

Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.

Tafuta hela
 
Mtoto mwenye pesa namna hiyo unaanzaje kumuacha?we umekamirika kweli?
 
Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.

Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu

Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
Kaoe lofa mwenzio atakayekuvumilia ulofa wako

Ukome kuoa wanawake matawi ya juu wakati wewe lofa na kwenu malofa
 
Mleta mada ana pepo la umaskini mwanamke kuwa na vyote hivyo mbona kawaida tu

Furaha ya mwanamke ikomkwenye kutoka anaonekaje huko nje ndio maana huwa.na mavazi kibao

Pepo la mavazi lina unafuu kuliko.pepo la ulofa
Ana pepo la mavazi .hana hata kiwanja hapo alipo
 
Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.

Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu

Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
😆
 
Back
Top Bottom