Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Hapana 😁😁Usikute ndio wewe😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana 😁😁Usikute ndio wewe😀😀
Safi sanaKuna mmoja nilimuacha baada ya kutaka anunuliwe kiatu cha 16 wakati mtafutaji Nina viwili kimoja kimechanika nikamwambia subiri me enyewe Sina viatu week hii nataka nunua changu kimoja akakataa kmkkke nikapiga ya mwsho nikamuacha
Nimemnukuu mtoa mada hapo mwshon..gas imeisha hana hela ya kujaza...happ ndo mwamba kaona hilo dishi la demu wake ni la Zuku..Umasikini shida sana. Sasa hivyo viatu na vifaa vyake vyengine ndiyo vimekuweka roho juu hivyo!
Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu
Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
Hata Yesu hakutafuta helaTafuta hela
Huyo siyo design ya kukaa jikoni, mimi nakataa kuwa hana pesa za kununua gesi.Nmemnukuu mtoa mada hapo mwshon..gas imeisha hana hela ya kujaza...happ ndo mwamba kaona hilo dishi la demu wake ni la Zuku..
Mtoto mwenye pesa namna hiyo unaanzaje kumuacha?we umekamirika kweli?Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu
Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
Ana pepo la mavazi .hana hata kiwanja hapo alipoMtoto mwenye pesa namna hiyo unaanzaje kumuacha?we umekamirika kweli?
Kaoe lofa mwenzio atakayekuvumilia ulofa wakoNimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu
Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
Ana pepo la mavazi .hana hata kiwanja hapo alipo
😆Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu
Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
Hayo ndio mambo ya maana sio mawigi hivoMbona kwa mwanamke hiyo idadi ni ya kawaida sana na ni vitu basic kabisa hivyo! Je ungekuta anamiliki nyumba 5 na magari 10 ungeenda kumshitaki au??
Kwa hiyo ili muende lazima iwe 75 +1, 47+1, 70 +1 na 62+1 mpe hela akanunue mtoke.Ajabu ni pale unamwambie tutoke kesho twende mahala, anakujibu sina nguo na viatu vya kuvaa.
Naona kahesabu hakuzimaliza haishia njiani.Katika hiyo orodha hata nguo za ndani hana?