Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.

Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.

Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.

Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.

Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.

Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula mbuzi mzima wakuu...🙄

Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...😳

We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...🤔
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.

Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...🙁

Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.

Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..☹️
Ulimpenda mwenyewe!
 
Usinikumbushe niliwahi kutana wa hivo, mwanamke anakula yule na kikibaki usiku wa manane anakiamkia.Anajali tumbo lake sijawahi ona mbele ya chakula anatoa mbususu kiulaini nilikuambia baada ya kugundua wote waliomlala walimtega na chakula
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom