ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Katika siku zote nilizoona comments zako leo umeniudhi🤸Mwajuma ndala ndefu, hapo hujakutana na shosti zake asha ngedere, agness kichupi mkononi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika siku zote nilizoona comments zako leo umeniudhi🤸Mwajuma ndala ndefu, hapo hujakutana na shosti zake asha ngedere, agness kichupi mkononi,
🍵 ☕️ 🫖 🍵 ☕️Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.
Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.
Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.
Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula mbuzi mzima wakuu...🙄
Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...😳
We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...🤔
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.
Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...🙁
Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.
Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..☹️
Kwa kuwa mwanamke anakula? Lofa mkubwa wewe.Kataa ndoa
Unamtakia "mpezi" wako mchoko mwema?Aisee pole sana! Kutwa nzima unalima? Haujachoka kweli?
Niache na Lucas wangu aiseeUnamtakia "mpezi" wako mchoko mwema?
NB;Kijijini kwetu hatuna herufi "n" kwenye neno mpenzi.
Nawaacha wapezi wawili mjipunzishe kwenye chevuli.No hard feelings!😂😂😂🙏Niache na Lucas wangu aisee
Umemshirikisha mkeo kwamba unataka kuoa mke mwingine?Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.
Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.
Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.
Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula mbuzi mzima wakuu...🙄
Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...😳
We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...🤔
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.
Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...🙁
Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.
Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..☹️
Unalia kisa mapenzi mkuu how Old are youNimelia sana mkuu, nikaona nije nitoe nyongo hapa..😑
Pole sanaNimelia sana mkuu, nikaona nije nitoe nyongo hapa..😑
Mkuu hii chai haihitaji sukari😄😄😄😄Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.
Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.
Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.
Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula mbuzi mzima wakuu...🙄
Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...😳
We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...🤔
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.
Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...🙁
Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.
Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..☹️
Muhuni huyu, Leo kapika ugali na tembele na wale dagaa wa kwao upareni.Mimi nilijuaga wewe ni mbabu age go kumbe bado unatafuta