Mpenzi wangu analalamika simtafuti

Iyo kilamuda umeandika sasahivi
 
Naomba namba yake mkuu
 
Hapana sio hivyo ila wanawake wakiamua kubadilika basi hata ufanyaje huwezi kumrudisha moyo wake nyuma yaani labda umnyonge.

Sasa huyu ex wangu alibadilika ghafla kuna muda hata nimpigiaje au nimtumie meseji hajibu wala nini na sometimes unamuona online WhatsApp na anaweka status ila calls zangu hajibu wala text.

Mpaka pale nilipoamua na mimi kukaza kama mbwai naiwe mbwai ndo alipojifanya kunirudia na kuanza kulalamika kua mimi nimeacha kumtafuta ilihali yeye hakua akinitafuta kumbe mwenzangu alikua anani-cheat.

Wanaume inabidi tujifunze baadhi ya vitu kupitia makosa ya wanawake zetu na tusiwe na mioyo midogo
 
Sasa huyu ex wangu alibadilika ghafla kuna muda hata nimpigiaje au nimtumie meseji hajibu wala nini na sometimes unamuona online WhatsApp na anaweka status ila calls zangu hajibu wala text.
Haitakiwi kabisa mwanamume kumshobokea mwanamke

Usiwe mnyonge au kusimp kwa mwanamke

Vijana sugar boys mafara sana wanahangaika kuwapa attention wanawake

Mwanamke ndiye anayetakiwa aitafute attention kutoka kwako na muda wako

Show her she's replaceable.

Funguo za mahusiano anazo mwanamume yeye ana uchi tu
 
Naam ndomana mimi niliamua kukaza right after knowing she was tryna play with my mind ila baada ya mimi kubadilika tu akajifanya na yeye ndo mwema sana.

And she started questioning me like why you always quiet no calls, no text no nothing.
 
We dont expect modern women to offer more than sex

Unapojadiliana mada kama hizi jitahidi usijiongelee wewe bali ongelea hali halisi iliyopo kwenye jamii, wanaume wengi wana expect more than sex from women ndio maana wakikosa hayo wanayoyaexpect wanalalamika na kuwatukana wanawake, ukisema hao siyo wanaume ni wavulana basi ueleze pia ni kwa misingi gani hawa uwaite wanaume na wale uwaite wavulana

Boys turn into men when they realize hoes or non virgin women ain't special

Hahaha you ain't special either bruh, yani wanawake wa kileo mnavyowachukulia ndivyo nao wanavyowachukulia hivyo hivyo they got neither love nor respect for you cause you got nothing to offer to them, and unfortunately jamii imeshatoka huko kwenye kumpa heshima mwanamke kisa bikira these days nobody gives a fvck about virginity anymore it's all about what she got upstairs


Sasa mbona hueleweki tena unawakandia wake au unawakandia michepuko yani mnawaambia wanawake wajitunze ili waolewe, halafu hapo hapo mnatoa kauli kama hizi kuonesha kwamba hata kuolewa kuwa mke wa mtu nako hakuna thamani sasa mbona mnawaambia wanawake wajitunze ili waolewe what kind of cockamamie logic is this, by the way siku hizi mbona hata wake za watu wengi wanachepuka sana tu na waume zao wakijua wanawasamehe maisha yanaendelea wewe naona bado upo enzi za bibi zetu ambazo wanawake walikuwa wanaogopa kudharauliwa na jamii hatupo tena huko

When a woman's head is empty, her vagina always suffers

Well can you please explain how a woman's vagina physically suffers to the extent that everyone can notice


Hahaha sasa kama wake za watu ndio wanafanyiwa hayo uliyoyaongelea hapo juu unadhani mwanamke ambaye hajaolewa akisoma hapo au akisikia hivyo atatamani kuwa mke wa mtu, by the way inaonekana hujui kusoma alama za nyakati siku hizi kuwa single mother imekuwa fashion na wanawake wala hawajali tena ndio kwanza wale wa "natafuta wa kunizalisha nitalea mwenyewe" wanazidi kuongezeka na huko tunakoelekea ndio kabisa, hivi unafikiri ule msemo wa "fainali uzeeni" huwa unamhusu nani kama siyo mwanaume ukweli ni kwamba uzeeni wanaume wasiooa ndio huteseka zaidi kuliko wanawake wasioolewa maana mwanamke atabaki na watoto wake watamlea na kumhudumia huku wewe ukibaki na malaya wako uliokuwa ukiwanunua.. pathetic!!
 
Mpe muda na yeye wa kumjulia hali.. Inapendeza kuonesha caring.

Msichatishane sana, maana ikiwa pia too much inaboa. Kumbukaneni kwa nyakati tofauti tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…