Mpenzi wangu ananieleza mambo ninayowasiliana na mchepuko

Ipo application moja ya kulipa ndo kaitumia iyo inauwezo mkubwa sana wa kuchaji am zako zote na call zako zote.ila kuna namna ya kugungua kama simu yako imehakiwa ingia Google andika jinsi ya kujua na kujitoa kwa aliyehaki simu yako utapata maelezo

Shusha nondo mkuu
 
iPhone haiwezi kuwa hacked. Nasema hivyo kwa sababu Pegasus ambayo ndio civilian tool pekee ya kuhack iPhone inauzwa kwa state institutions na kuanzia dola laki ngapi uko. Face ID ya iPhone iko strong sasa hapo sijui imekuwaje ila naamini chanzo cha kuvuja hizo taarifa sio hiyo simu yako
 
Mkuu shemela ana pata SMS na Calls au ni messages za WhatsApp tu au vyote ? Ukinipa jibu nitajua kafanya nini na nitakupa na njia ya kujikwamua
Call na sms unatumia njia ipi nina kesi inayofanana na hiyo
 

Hahahah, huyo dada atakua ka scan as whtasapp web. simu ako kwa sababu now iphone ina whatsapp beta ambayo uki scan kwa laptop au kwa simu kupitia whatsapp web, hata kama simu ako itakua imezima account yako itakua bado ipo active kwake.
Fanya ya fatayo fungua whatsapp > setting >linkied device kama utakuta ipo linked logout mchezo umeisha!
 
hujui unataka nini ww

ndani unampenzi tena mbichi, katoka chuo hata wiki 2 hajamaliza

hapo hapo una mcheps ambaye umepanga kwenda nae zenji

huwez kumiliki wapenzi wawil kwa wakati mmoja wewe, ndo mana unadakwa..

huyo demu wala hajahack cm yako, pass wd anaijua na huwa anaingia kusoma kila kitu

kuna wakali wa hizi mambo..
endelea kujifunza bablay
 

Nahisi hvo coz passcode nimeweka digit 4 badala ya 6 nahis anaijua akafanya mambo yake[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…