Achana na story za vijiweni. Hakuna mbongo anaweza compromise security ya iPhone hata apewe milioni 100.
NSO Group ya Israel ili ikupe Pegasus spyware inatoza $ 650k (1.5 bilioni zetu) kwa simu kumi za iPhone, $ 500k (1.1 bilioni) kwa installation ya hiyo system na pia annual maintenance fee ya 17% ya gharama za awali. Wanunuzi wa hizo system ni Abu Dhabi, Dubai, Saudi Arabia na nchi nyingine duniani.
Hao wabongo wako wanaosema wanaweza compromise iPhone wanaota mchana maana kama UAE yenye teknolojia kubwa imeshindwa, sembuse Tanganyika isiyo na vyoo mashuleni. Kuna annual hacking contest kibao kwa nini wasiende wakashinda mamia ya mamilioni wakaachana na hizi porojo