Mpenzi wangu ananieleza mambo ninayowasiliana na mchepuko

Mpenzi wangu ananieleza mambo ninayowasiliana na mchepuko

Angalia idadi ya fingerprint ulizosajili, na je face id yako inafanya kazi kwenye sura yako?
 
iPhone haiwezi kuwa hacked. Nasema hivyo kwa sababu Pegasus ambayo ndio civilian tool pekee ya kuhack iPhone inauzwa kwa state institutions na kuanzia dola laki ngapi uko. Face ID ya iPhone iko strong sasa hapo sijui imekuwaje ila naamini chanzo cha kuvuja hizo taarifa sio hiyo simu yako

Face Id yake kweli ni very strong

Niliweka nikiwa mwembamba nimenenepa kidogo tu imegoma mpaka nikachange
 
Hahahah, huyo dada atakua ka scan as whtasapp web. simu ako kwa sababu now iphone ina whatsapp beta ambayo uki scan kwa laptop au kwa simu kupitia whatsapp web, hata kama simu ako itakua imezima account yako itakua bado ipo active kwake.
Fanya ya fatayo fungua whatsapp > setting >linkied device kama utakuta ipo linked logout mchezo umeisha!
Vipi kwenye linked devices ile tick ya kibox itakuwa active?
 
Face Id yake kweli ni very strong

Niliweka nikiwa mwembamba nimenenepa kidogo tu imegoma mpaka nikachange
Yaani hakuna mtu anaweza compromise security ya iPhone. Ukiona kuna taarifa zako zimevuja ujue sio kupitia hiyo simu, hapo tubaki na possibilities nyingine kama kujulikana kwa password. It's better niamini hii ni chai kuliko kuamini iPhone imesababisha
 
Sasa ni rasmi kwamba demu wako naye ataanza seviwa kama 'Mbeba Taka' na njemba nyingine...ndio maji yashamwagika hivyo!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Was joking mkuu tunafurahi sana kukuona jf...
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji8]
JamiiForums423254885.jpg
 
Back
Top Bottom