Mpenzi wangu ananieleza mambo ninayowasiliana na mchepuko

Angalia idadi ya fingerprint ulizosajili, na je face id yako inafanya kazi kwenye sura yako?
 

Face Id yake kweli ni very strong

Niliweka nikiwa mwembamba nimenenepa kidogo tu imegoma mpaka nikachange
 
Vipi kwenye linked devices ile tick ya kibox itakuwa active?
 
Face Id yake kweli ni very strong

Niliweka nikiwa mwembamba nimenenepa kidogo tu imegoma mpaka nikachange
Yaani hakuna mtu anaweza compromise security ya iPhone. Ukiona kuna taarifa zako zimevuja ujue sio kupitia hiyo simu, hapo tubaki na possibilities nyingine kama kujulikana kwa password. It's better niamini hii ni chai kuliko kuamini iPhone imesababisha
 
Sasa ni rasmi kwamba demu wako naye ataanza seviwa kama 'Mbeba Taka' na njemba nyingine...ndio maji yashamwagika hivyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…