Kabisa hamna mwanamke hapo! Fukuza kabisa inaonekana mtoto sio wake-Je mtoto ni wako?
Fanya utaratibu wa kuhama hapo haraka iwezekanavyo.
Hapo hauna mke/mpenzi, Huyu sio mtu sahihi wa kufanya naye maisha.
Nenda kaanze maisha sehemu nyingine na utapata mwanamke sahihi kwako.
Kwani ulimuoa?Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.
Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.
Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.
Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.
Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.
Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.
Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
Namnukuu mleta mada! 👇👇👇Kwani ulimuoa?
Kutokusoma kwako na huna kazi ya maana ndo Mana umeamkia kariakoo tafuta hela matajiri hatupajui kariakooAndika Kwa kuacha nafasi, halafu unaonekana una utoto na huna kazi asubuhi yote hii unawaza mademu sisi tupo Kariakoo tangu saa kumi na mbili asubuhi tunapanga bidhaa na kusubiri wateja kumbe wewe unawazaa ngono tu
Mtoto wa miezi 7 kitendo Cha mwanamke tu kuanza mahusiano mapya tayari Hana akiliSio mtoto wangu kiongoz,nimemkuta tu.
Shukurani kwa ushauri kaka
WEWE NI FALA MKUUHabar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili.
Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada yake na wamepanga chumba jirani kabisa na nilichopanga mimi.
Toka tumekuwa kwenye uhusiano aliamua kuhamia chumbani kwangu kabisa. Sasa juzi niliona sms za jamaa mmoja anampongeza kwa walichofanya jana yake na kumuomba warudie tena siku inayofuata. Na mwanamke akakubali kabisa.
Siku iliyofuata yaani jana tar. 1 muda wa kulala ulivyofika, tukalale kama kawaida kwenye saa 5 usiku akaamka akajifanya anampelekea simu dada yake room kwao. Mtoto wake kamuacha kwangu kalala, nikajua mchezo umeanza.
Ilikuwa saa 5 na dakika 37 alivoondoka karudi saa 6 na dakika 30 hivi. Alivyorudi nikasikia mlango wa chumba cha dadake unafunguliwa nikajua anaenda kumfungulia mdogo wake ,nikakimbilia dirishani fasta, kweli nikamuona kasimama mlangoni anasubiri afunguliwe mlango.
Nikajirudisha zangu kitandani, alivokuja nikakausha kama sijui lolote vile. Sikumuongelesha lolote nikamuacha alale. Asubuhi ya leo nimejihimia job, yeye memuacha kalala kitandani kwangu.
Yaani inaniuma sana. Naombeni ushauri wenu wadau.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wee jamaa eti saa kumi na mbili umeshapata bidhaaAndika Kwa kuacha nafasi, halafu unaonekana una utoto na huna kazi asubuhi yote hii unawaza mademu sisi tupo Kariakoo tangu saa kumi na mbili asubuhi tunapanga bidhaa na kusubiri wateja kumbe wewe unawazaa ngono tu
[emoji23][emoji23] alikwenda kupanga bidhaa karikooo labda anafundisha benjaminiLeo hujaenda shuleni teacher?
Ahahhahaha eti leo anapnga bidha Chini wasubiri watejaSio mwalimu mkeka ulimtema jina lake walilikata pamoja na kuomba shule nyingi .
[emoji23][emoji23][emoji23] usimlaumu sana ndio uwezo wake wakiuchumi unapomfikisha, yaani ndio anayeweza kumuafford kwamuda huo. Angezikimbia tamaa na kucontrol actions zake angeachana na mapenzi kwa muda huu kujenga uchumi ili awe stable kuchagua mtu amtakaye nasio wakumridhisha kwenye ngono.Mnapataga wapi ujasiri wa kutembea na wanawake wenye watoto wadogo ambao hata mwaka hawajatimiza. Kwa jinsi nilivyoelewa huyo mtoto ni wake na mtu mwingine.
Hata hiyo k itakuwa imekaza kweli?? Mixer shombo la maziwa, bado kidume umekaza fuvu hapo hapo na kuomba ushauri juu???
Sasa ushaona mpaka msg huku unataka ushauriwe nini?? Ni wazi yupo na wewe kwa faida zake binafsi kama kupata yaya wa bure wa kuangalia mtoto wakati yeye anaenda kuuchezea kwa mzazi mwenzie.
Hebu tuweni wanaume kwa vitendo basi. Sio mkeo, huna mtoto nae unang'ang'ania ili iweje.