Mpenzi wangu anapenda kutumia lugha ngumu

Sijui nina tatizo gani siku hizi, nikikutana na mwanamke anaongelea changamoto za mahusiano yake huwa kichwa kinaanza kuuma ghafla nakuwa nahisi kama nasikiliza muziki wa kukera au sauti ya kitu kinachokera.

Sijui nina shida gani, huwa muda huo huo naomba udhuru nasepa. Hii hali imenianza mwaka jana. Niligundua ninayo baada ya kuongea na X girlfriend ambaye kwasasa kaolewa na ana watoto watatu, alinialika sehemu ili tuonane tupige story tu maana sijaonana nae kitambo sana. In the middle of our conversations akaleta story za changamoto zake na its like alikuwa anataka sana tuongee ili anambie ya moyoni, mimi ghafla nikaanza kupata kitu kama hasira kifuani, kichwa kikawa kinazizima yaani kama mtu ambaye amepewa taarifa ya kukwaza na kuudhi sana akiwa kwenye kikao.

Tokea siku hiyo hali imekuwa hivyo.

Kama hapa namsoma huyu bi dada tayari naanza kupatwa na irritation ya kifikra naona kama nasoma sijui vitu gani aiseee.
 
Mwamba ulimpikia dona...???Labda umezoea wale wenye soft talk to their babies. Sioni kama atabadilika as long as mnapendana, just go with the flow.
 
MIMI:Naelekea ofisini mara Moja nimesahau PC
YEYE: ok, Sema nini mwanangu usikawie kurudi,Nina ubao kinyama, naomba unitolee kitu cha Dona natimba hapo Soon
MIMI: poa usijali
YEYE:Nakubali..
Kuna umri akifika ataacha kuongea hivyo
 
Anaongea Lugha ngumu we unaongea lugha laini mwisho wa siku mambo yanaenda, yani kama chuma kigumu kinalainishwa kwa oil au griss
 
Umekutana na Mdudu Ila kugongwa unagongwa sana mpaka unavuja mimaji
 
Sawa jembe nina swali kidogo hivi najua uyo sio first lover wako je hao walokuwa hivyo before mlifikia wapi kwnn leo umuone jembe lako la kweli kabisa linazngua
 
Khaaa! Unamfata mtu Tabora halafu mnarudi Dar😂
Kumbe unajua kupenda🤸
 
Mbona hiyo ni kawaidaaa!!!!! Mi mwenyewe mwanamke wangu huwa namuita msela,mwanangu,jamaaa. Kwakuwa kwenye hiyo unayoiita lugha ngumu hutukanwi basi vumilia tu na mbadilishe kidogo kidogo.😂😂😂😂😂
 
Mbona hiyo ni kawaidaaa!!!!! Mi mwenyewe mwanamke wangu huwa namuita msela,mwanangu,jamaaa. Kwakuwa kwenye hiyo unayoiita lugha ngumu hutukanwi basi vumilia tu na mbadilishe kidogo kidogo.😂😂😂😂😂
Unyama sana😂
 
Unyama sana😂
Unajua haya maisha ukiyachukulia siriazi na yenyewe yanakufanyia hivyo hivyo.
Imefika muda yeye mwenyewe ameshanizoea na ndiye anaanzisha "vipi jamaa yangu uko wapi?🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…