Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Pamoja na Hilo huna authority na hiyo nyumba Kwa sababu inakuwa ya familia na hata mkigombana saizi mwanamke ana Watoto hautouzw na Cha kumfanya huna.

Ni hivi nyumba ya familia ni ya mwanamke na Watoto na ndio maana wanaume wengi Huwa wanasusa na kuondoka kwenda kuanza Upya.
Bora hivyo ibaki kuwa kwenye kiwanja changu
 
Kama wewe ni mwanamke simshauri ajenge kwenye kiwanja chako...

Halafu ni mpenzi tu sio mchumba...

Mchumba hajengewi, mchumba asomeshwi....

Kiwanja chako jenga mwenyewe
Bro wangu alifanya huo ujinga wa kujenga kwenye kiwanja cha shemeji eti kisa shem anamuheshimu looh bwana ukatokea ugomvi kidogo manzi kahamisha hati ya kiwanja. Maneno kama nipe talaka yangu ndo yamechukua nafasi anajuta kishenzi na bahati mbaya hawana mtoto.
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Mimi nashauri kila mmoja awe na uwanja wake na nyumba yake.

Hapo hata mimi nayaona matatizo. Kwanza oaneni wacheni uzinzi na uasherati.


Uislam raha sana, hata mke na mume kila mmoja ana mali yake, hakuna ujinga wa sijuwi tulijenga nae.

Fateni sheria ya kila mtu kumiliki chake. Lakini mnaofanya haramu sijuwi kama mtanielewa.
 
Wasiwasi ndio akili...huyo ndio gentlemen..ukimpata atakayejenga juu ya kiwanja chako bado ni mvulana huyo.

Tumekubaliana kuwa wanaume wote tutaanza kujenga kwenye viwanja vya wanawake pale tu tutakapopata nguvu ya kuhamisha nyumba kama tunavyoweza kuhamisha sufuria.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],wanaume naona mmefrahi balaa.
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Good approach from true Guy!!
 
Si tutachelewa? Kumbuka umoja ni nguvu.....Kama mnaunganisha damu mnapata watoto, kuna shida gani kuunganisha Mali?
Huwa inapendeza mwanaume achume na mwanamke amkute mwanaume tayari ana kila kitu ikitokea mambo ya kufanya pamoja basi yafanyike wakati baba umeshajipanga, maana tamaa haiwezi kuwaacha salama.. Unasema umezaa nae kwahiyo ina jenga ulinzi hani katila mifarakano watu hubadilika dakika chache tu hasa mwanamke ni rahisi sana kubadilika na ikawa pata potea, kesi ngapi zimefunguliwa na wanawake mahakamani kudai fidia za mali
 
Wenyew wanakwambia mimba ya mwanaume,mtoto wa mwanamke akili kumkichwa[emoji28]

Utasikia mtoto wangu anataka hichi, mtoto wangu usimzoeshe hivi sio mtoto wenu tena bali ni mtoto wangu sawa umekaa nae miezi tisa tumboni ukamzaa kwa uchungu sawa mimi kama baba natambua the hustle huyo mtoto ana baba kwanini asiwe mtoto wetu, sasa kama mtoto tu damu yenu ya pamoja mwanamke anaanza kuweka ubinfasi je mali[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo kujenga pale ni shida, ila sisi ku support ujenzi kwenye viwanja vyenu ni sahihi?
Tambua mwanaume mwenye akili timamu hawezi kufanya unachotaka ni hali tu ya kiuanaume kwanza akijenga hapo hatakua na amani atakua anahisi udhaifu fulani , kwanza hata hicho kiwanja chako hatakiwi kukuuliza una mipango nacho gani.... Wanaume hata tukikwama ni ngumu kuomba msaada kwenu labda sasa ujongeze wewe kuona mumeo anahitaji support yako na mwambie ongezea nguvu pale kwa mwanamke anaejitambua, kwa mwanaume ukianza kuegemea kwenye vitu vya mwanamke hilo ni anguko, mwanamke afanye vitu kwa mapenzi yake mwenyewe sio kuombwa
 
Back
Top Bottom