Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Tatizo umelisem kwenye Heading...

Kiwanja ni Chako na Sio Chenu....; Swali dogo tu, kwa mtizamo wako hio nyumba akisema ni yake na sio yenu utalichukuliaje hilo ?

Nadhani njia pekee ya nyie wabinafsi ajenge yake kwenye kiwanja chake na mjenge yenu kwenye kiwanja chenu....
Nilikuwa sahihi ni changu bado hatujafanya namna kukibadili kuwa chetu
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Yani nikajenge kwenye kiwanja cha Mwanamke 🙆🙆🙆?umelogwa au?
 
Back
Top Bottom