Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Wewe ni ke au me? Kama ni ke, hakuna mwanaume timamu atajenga kwenye hicho kiwanja. Mnakuaga na swaga za kuvizia mtu nyie, mkifanikisha lenu mnaanza mambo ya ushuzi ushuzi
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Wewe ni jambazi kabisa yani wewe ni jambazi sugu
 
Kwenye kiwanja cha mwanamke siwezi hata kulima tuta la mchicha.
 
Mleta uzi acha uzembe ASIJENGE KWENYE KIWANJA CHAKO. Anunue kingine ajenge mkaishi galafu alokwambia mpenzi anapewa kiwanja nani? Kama ana mpenzi wake mwingine atakayemuoa he? Achana na hizo issues baadae yatakukuta.
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Kwanini ajenge hapo?
 
Technically Women are FARMING US to consume Us in the End,maana mwisho wa kila mwanaume( uzee) una tabu nyingi
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Usione jamaa hakupendi lia tahadhali ni bora sana,

Mwambie akupe nusu ya pesa ulionunulia kiwanja, baada ya hapo badilisheni majina ya hati mtakuwa mnamiliki wote kiwanja, sasa anaweza kuanza ujenzi, , lkn maka ww hauna uwezo wa kuchangia kiwanja badilisha jina ionekane ww na yy ndio wamiliki kisha yeye ajenge
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Wewe ni tapeli
 
Naungana nae hakuna kujenga asije juta mbeleni. Ya kesho hayajulikani.
 
Back
Top Bottom