Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Wanaume acheni roho mbaya, kuna ubaya gani akijenga kwa bidada na wana malengo ya kuwa mke na mume!!!
Mwaya endelea kuongea naye taratibu atakuelewa usiwasikilize watu wa humu wavurugaji wa mapenzi ya watu [emoji12]
Nije nijenge kwenye vile viwanja vyako vya kigamboni[emoji23][emoji23]
 
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]

Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Hata kiwanja cha mke ni mtihani....sembuse mpenzi!
Labda kwa ushirikina
 
Back
Top Bottom