Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema ni mazoea tu!

Endelea nae mpaka atakapogongwa mbele yako na ex wake.
Taa nyekundu ishawaka na bado unapita
 
Wana mahusiano hao. Achana naye wekeza pengine. Au na wewe kuwa X...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…