Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Mapenzi yanaweza kukutoa akili bila kujua, usimlaumuHata Kama huna akili, pole tu
Mapenzi yanaweza kukutoa akili bila kujua, usimlaumuHata Kama huna akili, pole tu
Mama mtumishiiii!!! 😂😂😂😂😂Unasemaaaaa??????
bonge la ides hy kitu niliwah mfanyia mpenz wangu narud toka job nakuta kwenye kagiza mtaa wa pili kama my wangu hv yupo na mwana nikawapitia hapo hapo wala sikuwa na mambo meng narud hom wife hayupo nikaoga zangu flesh mara huyu hapa nikanyanganya simu nasoma text mamaa wee tayar kaliwa nikamrudishia simu yake then nikamwomba msamaa kama lijinga flan hv si akaanza kunibwatukia mi kimyaa ilipita miez 6 akasikia tu rafik yako ana mimba ya mmeo mbona alidata kuja kuniuliza nikamwambia kusanya kilicho chako pita hv hutak nahama mimi daya moto ni motoHuyo endelea nae hivo hivo, aje asshtukie tu abakutana na Mapicha FB umeshaoa
Shida mwamba amefall in love, so amefall apartWanawake wapo zaidi ya bilioni 4 dunian unasumbuka na pasua kichwa mmoja, piga chini.
Wanawake wapo zaidi ya bilioni 4 dunian unasumbuka na pasua kichwa mmoja, piga chini.
Na sasa hivi wadada wanaroga kishenzi.. jichanganye kikulambeHaijakukuta.mkuu wanawekaga vitu kwenye chakula unakuwa kama bwege labda utokee siku United kawe kwa mwamposa unafunguka fyuuu hapo una nguvu ya kufanya maamuzi ingawa late lakn unatoka uko salama...
Hataree sana
mjinga weweWakuu
Moyo wangu unaumia sana, naona kama unavuja damu kutokana na maumivu ninayoyapitia karibu kila siku.
Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema ni mazoea tu, hakuna kinachoendelea. Nilijaribu kujidanganya, nikajifanya niko sawa, lakini moyoni kulikuwa na kelele za maumivu yasiyoisha.
Kila notification ikilia, tabasamu lake lilinifanya nijisikie mgeni kwenye uhusiano wangu mwenyewe. Nilianza kujiuliza kama ni walishaachana, kwa nini bado ana nafasi kubwa kwenye penzi letu?
Siku moja nilikaa kimya, nikachagua kusikiliza zaidi kuliko kuuliza. Niliona jinsi anavyocheka, jinsi anavyopotea kwenye mazungumzo yao. Hapo ndipo niligundua kuwa si mazungumzo yakawaida, yaliniuma sana.
Nilimkalia chini na kusema kwa utulivu, ‘Sipigani na ex wako, napigania heshima na nafasi yangu.’
Alikaa kimya. Na kwenye ule ukimya, nilijua ama mahusiano yetu yameisha muda.
Naomba ushauri wako, nifanye nini kuhusu mkasa huu, kwani bado nampenda sana na nilikuwa na ndoto kubwa sana na huyu mpenzi wangu.
.....na si mayaiNawaomba wachangiaji wote tusiseme kuwa member mwenzetu anagongewa
Tumfariji
AbeeeeMama mtumishiiii!!! 😂😂😂😂😂
Kwanini lakinii?? 😂😂😂😂Abeeee
😄