Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema ni mazoea tu!

Na wewe mtembelee na spend time na x wako, akikuuliza mwambie ni mazoea tuu, dawa ya moto ni moto,asipoacha anza kupanga exit
 
Hapa ushauri wa nn ss ??
 
Kama umesoma sayansi Newton third law of motions mkuu na wewe tafuta chechende chat nae simple ukiweza aakati Anacostia nenda kale memayanchi kama uko dar sinza sehemu safe zaidi kuanzia ulinzi shiriki mpakka usalama wa ndani
 
Move on kaka acha kuumiza kichwa na moyo

Na umechelewa sana Toka ulipogundua wanamawasiliano ungeshaachana naye
Haijakukuta.mkuu wanawekaga vitu kwenye chakula unakuwa kama bwege labda utokee siku United kawe kwa mwamposa unafunguka fyuuu hapo una nguvu ya kufanya maamuzi ingawa late lakn unatoka uko salama...

Hataree sana
 
Haijakukuta.mkuu wanawekaga vitu kwenye chakula unakuwa kama bwege labda utokee siku United kawe kwa mwamposa unafunguka fyuuu hapo una nguvu ya kufanya maamuzi ingawa late lakn unatoka uko salama...

Hataree sana
Huyo hajaekewa chochote ni ushoia wake tu wa kufumba macho ujinga
Mwanamke anayekupenda Ile kukupenda haswa ndo wanaoenda Kwa waganga kukufunga sio huyo hajampenda zugazuga tu
 
Achana nae mkuu yajayo yanastaajabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…