Mpenzi wangu anatumia muda mwingi sana ku-chat na ex wake, na kila nikimuuliza anasema ni mazoea tu!

Huyo endelea nae hivo hivo, aje asshtukie tu abakutana na Mapicha FB umeshaoa
bonge la ides hy kitu niliwah mfanyia mpenz wangu narud toka job nakuta kwenye kagiza mtaa wa pili kama my wangu hv yupo na mwana nikawapitia hapo hapo wala sikuwa na mambo meng narud hom wife hayupo nikaoga zangu flesh mara huyu hapa nikanyanganya simu nasoma text mamaa wee tayar kaliwa nikamrudishia simu yake then nikamwomba msamaa kama lijinga flan hv si akaanza kunibwatukia mi kimyaa ilipita miez 6 akasikia tu rafik yako ana mimba ya mmeo mbona alidata kuja kuniuliza nikamwambia kusanya kilicho chako pita hv hutak nahama mimi daya moto ni moto
 
Haijakukuta.mkuu wanawekaga vitu kwenye chakula unakuwa kama bwege labda utokee siku United kawe kwa mwamposa unafunguka fyuuu hapo una nguvu ya kufanya maamuzi ingawa late lakn unatoka uko salama...

Hataree sana
Na sasa hivi wadada wanaroga kishenzi.. jichanganye kikulambe
 
mjinga wewe
 
Na waganga wa sikuhizi wana nguvu kwenye mapenzi yaan usishangae unakuwa zezeta kwa mpenzi wako ujue kimeumanaa.system in system out mapast wanaitaa tayariii tayariiii

Na waganga wa sikuhixi kuimarisha nguvu lazima walale na wake ama gfriend zenu

jua hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…