Road Traffic Signal
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 621
- 1,958
Jamaa yako nipo Juliana hapa Africana, kalewa chakari kakata motoYaani mwaka umeanza saa sita usiku kakaa kimya mpk muda huu. Anasubiri mm ndiyo nimuanze? Acha niuchune ili niijue rangi yake halisi.
Hapa unawaza huenda kuna mtu amemuweka ndo maana kakaa kimya, na yeye anajiuliza huyu mpaka sasa kakaa kimya? Lazima kuna sehemu kabananishwa tu.Daah! Kwahiyo anajitia mapana na kujikwambafai kwangu? Ngoja tuone.
Nilikuwa natafuta hii comments nisije nika-duplicate.. nyingine ya 'Bora Shule zifunguliwe sijaiiona'..Utoto raha sana.
Pole sanaYaani mwaka umeanza saa sita usiku kakaa kimya mpk muda huu. Anasubiri mm ndiyo nimuanze? Acha niuchune ili niijue rangi yake halisi.
Aisee!Hapa unawaza huenda kuna mtu amemuweka ndo maana kakaa kimya, na yeye anajiuliza huyu mpaka sasa kakaa kimya? Lazima kuna sehemu kabananishwa tu.
Ndo maana mapenzi ni ujinga furani unaotokana na watu kutojitambua,wakiamini wanachokiwaza lazima kiwe
Unajua mmefika wapi?Aisee!
Yaani mwaka umeanza saa sita usiku kakaa kimya mpk muda huu. Anasubiri mm ndiyo nimuanze? Acha niuchune ili niijue rangi yake halisi.
Haya ndiyo mapenzi sasa, kila kitu mnashea. Kwa vyovyote wawili hawa ilipofika saa 6.00 usiku walitumiana meseji za wishes.View attachment 2859233Mapenzi na tutotoo kazi sana