Mpenzi wangu hataki kunielewa juu ya kosa langu

Ulikosea Sana kuanza kupost picha za mwanamke mwingine.Hukuona Kama happy ulikuwa unamkomoa?

Nakushauri usimtafute Bali mpe muda mzuri afikie juu ya hili( naamini huko aliko analifikiria) na Kama ataamua kukusamshe bila Shaka atakutafuta mwenyewe.
Na asipokutafuta Basi jiongeze kwamba umeshaaachwa mazima k' o uanze mikakati ya kutafuta pisi nyingine.
 
Hata mi ningekuacha
 
[emoji848][emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukome na uache utoto.. huyo mwenzio akaze ivo ivo ili ujifunze
 
shukeani mkuu
 
💪💪💪
 
Wanabodi wengi wamempa ushauri koboG...nami naomba nimpe ushauri kipenz cha koboG kwakuwa tumeambiwa ni member humu!

Naomba nimuite BROWN suger... Boy wako kafanya makosa Sana lkn huenda ni kutokujua Tu au coz anakufil Sana,usimhukumu Kwa picha aliyotuma Ila mhukumu Kwa kutojiamini kuwa unampenda,alifanya hivyo Kwa Nia njema ingawa hakujua maumivu ambayo amekusababishia,Lau angejua ungeumia naamini asingefanya hayo anayoyafanya.

BROWN suger Sisi wanaume ni wagumu Sana kujishusha Kwa mababe wetu na kulialia lkn mpaka koboG analia ujue wewe ni mtu muhimu Sana kwake.... Makosa wameumbiwa wanadamu na boy wako ni miongoni mwao!

BROWN suger two wrong does not make right! Lkn boy wako kafanya kosa moja la kumpost huyo bidada,anadeserve another chance, natumaini utachukuwa Mda wako na kuangalia uwezekano WA kumsamehe koboG

Naamini mtakuwa pamoja tena siku moja......

Mwanabodi Jf.
 
Dawa ya Mwanamke ni Mwanamke! Kama anakupenda atajirekebisha ili muyajenge,na Kama alikua anakutafutia kaupenyo kakupiga chini kubaliana na hilo Maisha yasonge! Huna kitu alafu bado unataka kujipa gharama za safari za bure!! Kaa fanyaa yako Dogo!!!
 
Uwongo mbaya nimecheka sana sana khaa serous unamkondea dem demu akikukatalia msamaaa achana nae fasta ww futa tu namba zake na badilisha lain utamsahau chap
 
Huyo mwanamke hakupendi achana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…