Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.

Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Huyu kweli anaweza kuniroga?

2. Hili kabila la WANYATURU ni wachawi kiasi cha kumroga mtu kwa kumpa taarifa?

3. Nadate na mchawi?

4. Ataniroga kwa style gani? Nimpende sana mpaka niwe kama zombie?

Mpaka sasa anapiga simu namwambia nipo busy nitamtafuta but mpaka sasa nimevurugwa.

Sometime nakumbuka ushauri wa Mr.liverpool
 
Anaweza kukurogea hata kwa mbunye ukachanganyikiwa, tabia nzuri, sura nzuri, sauti nzuri nk . Siyo lazima uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…