Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.

Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Huyu kweli anaweza kuniroga?

2. Hili kabila la WANYATURU ni wachawi kiasi cha kumroga mtu kwa kumpa taarifa?

3. Nadate na mchawi?

4. Ataniroga kwa style gani? Nimpende sana mpaka niwe kama zombie?

Mpaka sasa anapiga simu namwambia nipo busy nitamtafuta but mpaka sasa nimevurugwa.

Sometime nakumbuka ushauri wa Mr.liverpool
 
Akishakuloga unakuwa Kama hivi ;anaweza kuamua leo ulale sebuleni,asubuhi akakukataza usiende kazini ,au asipike,au usiku akaamua Tu kukupikia uji na huna cha kumfanya km huyu👇👇

Screenshot_2022-03-13-22-23-36-89.jpg
 
Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.Leo wakati tunapiga story kaniuliza,Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu,mpka sasa najiuliza maswali yafuatayo:

1.Huyu kweli anaweza kuniroga?

2.Hili kabila la WANYATUZU ni wachawi kiasi cha kumroga mtu kwa kumpa taarifa?

3.Nadate na mchawi?

4.Ataniroga kwa style gani?nimpende sana mpaka niwe kama zombie?

Mpka sasa anapiga simu namwambia nipo busy nitamtafuta but mpaka sasa nimevurugwa.

Sometime nakumbuka ushauri wa Mr.liverpool
Anaweza kukurogea hata kwa mbunye ukachanganyikiwa, tabia nzuri, sura nzuri, sauti nzuri nk . Siyo lazima uchawi
 
Back
Top Bottom