RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Me.Wewe ni me/ke?
Mkuu naumia ujue.Atapelekewa moto na Putin mpaka akusahau.
Kweli unampenda, yani moto apelekewe yeye, uumie wewe.Mkuu naumia ujue.
Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma
Kuna lirusi litamnywea VODKA na kumpelekea moto. Jiandae kisaikolojiaAiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu.
Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.
Basi kaza tu. Atarudi.
Tataizo watoto wa uswazi wa hovyo.Kweli unampenda, yani moto apelekewe yeye, uumie wewe.
Kubabake halafu mipombe mikali inavyochelewesha bao sasa, andika kilio mzee baba. Anza kumendea kina Mwajuma ndala ndefu tu wa mtaani kwenu.
Daah sidhani kama atarudi, wanume wakirusi hawawezi kumuacha maana ni mrembo kweli kweli, halafu ngozi nyororo, rangi ya chocolate.Basi kaza tu. Atarudi.
Aiseee kumbe nampenda huyu binti Leo ndio nagundua.
Uongo🙄Aiseee kumbe nampenda huyu binti Leo ndio nagundua.
Anapenda utelezi tu huyo, hana lolote.Uongo🙄
Pole sana, ila unaweza kumweka karibu kwa mawasiliano kwa kuwa muda wa Tanzania na Russia ni mmoja, mnaweza kuwa na ratiba moja.Aiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu.
Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.