narudi kesho
Senior Member
- Jul 5, 2024
- 177
- 270
Usjal anaenda kupata elimu,cha msingi we nikumuombea tuAiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu.
Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.