Mpenzi wangu kesho Agosti 9, 2024 anaenda Urusi kusoma, nimegundua kumbe nampenda

Mpenzi wangu kesho Agosti 9, 2024 anaenda Urusi kusoma, nimegundua kumbe nampenda

Wewe mkuu mbona ulileta picha yako humu kwa lengo la matangazo na bahati nzuri we ni single mother ambae ni mbovu hukuona kama wajichoresha?.

Tuwekee threads nyingine upost picha zako ambazo sio za kujichoresha.
Kiongozi ni tag hiyo thread ni zoom hilo picha
 
Aiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu.

Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.
Wazungu wanaenda kumla ndogo huko...hawaachagi kitu wale!
 
Pole sana, ila unaweza kumweka karibu kwa mawasiliano kwa kuwa muda wa Tanzania na Russia ni mmoja, mnaweza kuwa na ratiba moja.

Ova
Russia ina time zone 11 unaweza kuwa sawa kwa time zone 1 ambayo inaenda sawa na sisi lakini kuna time zone zingine 10 zenye masaa tofauti ndani ya URUSI inategemea anaenda jimbo au eneo lipi, shkamoo baba mdogo Putin
 
Yupo Kazan, time zone tupo sawa.
 
Back
Top Bottom