Mpenzi wangu kesho Agosti 9, 2024 anaenda Urusi kusoma, nimegundua kumbe nampenda

Mpenzi wangu kesho Agosti 9, 2024 anaenda Urusi kusoma, nimegundua kumbe nampenda

Pisi ikienda kumegwa na mrussia haiumi sana kaka kama ukija kugongewa na mmatumbi mmoja pale mchikichini.

Japo sitaki uwazie hilo ila mapenzi ya long distance mtihani sana imagine hata kwenye bible hayapo eti Mume yupo Yerusalem mke Yupo Goligotha anasoma😁
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hayo maneno kwenye uzi wako alitakiwa aandike mwanamke

Unakuwa kama binti
Wewe ndio kipimo chetu humu JF cha kupima watu waandikije Ili wawe kama wanaume au mabinti.

Hongera mkuu.
 
Back
Top Bottom