narudi kesho
Senior Member
- Jul 5, 2024
- 177
- 270
Usjal anaenda kupata elimu,cha msingi we nikumuombea tuAiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu.
Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.
Hakuna mwanaume asiependa utelezi.Anapenda utelezi tu huyo, hana lolote.
Mi naogopa (kwa sauti ya mtoto)Vita vyote huko...we huogopi???
Acha uongo wala hujakereka bana, Nini kimekuleta MMU kama uko serious.Usalama wa Taifa umekuwa ukiharibu JF kwa uzi za kipuuzi kama hau! Sisi tulikuwa JF miaka mingi jambo hili linatukera!
Kweli mkuu.Thaman ya kitu huonekana pale kinapotoweka,pole
Mkuu acha utani.kama hutojali mkuu waweza kuniconnect na shemeji yangu mimi kwa sasa nipo Moscow 😎.
Acha tu mkuu, nimeanza nakutongoza demu mwingine, nilikua nshasahau haya mambo.Sasa ni mwendo wa nyeto, humu tuuuuu 😂
Kule Russia,bomba za majumbani sio maji na gesi,tuu na pombe pia Tena Kali.Kweli unampenda, yani moto apelekewe yeye, uumie wewe.
Kubabake halafu mipombe mikali inavyochelewesha bao sasa, andika kilio mzee baba. Anza kumendea kina Mwajuma ndala ndefu tu wa mtaani kwenu.
Mkuu acheni hizi mambo.Kule Russia,bomba za majumbani sio maji na gesi,tuu na pombe pia Tena Kali.
Mkuu daah, wamatumbi ndio wabaya wanapiga kama wanatafuta ndoa.Pisi ikienda kumegwa na mrussia haiumi sana kaka kama ukija kugongewa na mmatumbi mmoja pale mchikichini.
Japo sitaki uwazie hilo ila mapenzi ya long distance mtihani sana imagine hata kwenye bible hayapo eti Mume yupo Yerusalem mke Yupo Goligotha anasoma😁
Ngoja aondoke ndio utajua umuhimu wakeAiseee nilikua namsumbua na kumchukulia poa, lakini siku yakesho anaondoka kwenda Urusi kusoma, nimeanza hisi simanzi na upweke moyoni mwangu.
Nimegundua kumbe huyu binti nampenda, inaniuma natamani asiondoke lakini ndio haiwezekani.
Kwahio mkuu ulitaka nisemeje nionekane sideki.Kama wewe mwanaume unadeka, itakuwaje kwa mpenzi wako anayekwenda Urusi?
Uongo hausaidii.
Ananiambia nimvumilie akirud anaomba nimuoe.Iyo ndio inaitwa long distance relation ship hapo mapenzi ndio kwishnei anza kutafuta mademu wa kutuliza upwiru uyo bebi wako wa urusi mpotezee tu