Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi

Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi

Naomba nitoe sifa za huyu dada jinsi alivyo ili mnapotoa ushauri mjue ni mtu wa aina gani ninadeal nae.

◆Anakunywa sana pombe, apa simlaumu kwa kuwa ni asili ya watu wa kaskazini.

◆anabandika kucha zile ndefu, anavaa vikuku, kaweka kipini puani.

◆kaumbwa kaumbika, nimewahi kuleta uzi humu jinsi nilivokumbana na changamoto baada ya mkuu flani wa mkoa na waziri kutaka kunipindua kwenye jimbo.

Mwisho kabisa ni mbishi, anapenda kusimamia anachokiamini. Iyo hali imesababisha kutiana kwenye block mara kwa mara ila baada ya muda tunarudiana.
Najuwa huyo ni demu wako ila ukichinguza vizuri utakuta na yeye pia ana demu wake.Watu wa kaskazini hiyo ni kawaida.
 
Najuwa huyo ni demu wako ila ukichinguza vizuri utakuta na yeye pia ana demu wake.Watu wa kaskazini hiyo ni kawaida.
pisi za chuga nina experience nazo sana kwenye suala la mapenzi.
suala la yeye kuwa na demu wake izo ni shida zake kikubwa kila ninachokitaka kwake nakipata.
 
[emoji23][emoji1][emoji23] Mkuu mwenyewe umesema ulimuweka katika list ya vipozeo imekuwa vipi mpka ukawa unashindwa kuacha kuifinyia kwa Ndani wamikoani mna Taabu sana
uyo mama kijacho nimeshagharamika sana apo ndio maana ata yeye kaamua kunibless mtoto, kiufupi haikuwa rahisi mpaka leo tunaitana haniii.!!😅
 
Kiumbe aliyepo tumboni lazima imuathiri kwa ulevi huo, ni bora aache.

Bangi kitu mbaya sana. Kaka yangu kapoteza malengo ya maisha kwasababu ya matumizi ya Bangi na sigara
Wavuta bangi wanakuwaga na utetezi wa kijinga sana, utasikia hata viongozi wakubwa wa serikali wanavuta,kifupi bangi haijawahi muacha mtu salama.
 
Muonyeshe kwa vitendo kuwa unamjali yeye na mtoto kwa kufanya yafuatayo,Kumsindikiza clinic, Kuandaa baadhi ya vyakula vyake,Kununua nguo zake za akiwa mjamzito? Unaweza pia anza kuandaa kuo za unborn unsex. Ili ukimuambia aache hizo kitu ajue unamaanisha na unajali

Tafuta movies muvies zinazoonyesha mama mjamzito akipitia mambo mazuri na kujifungua salama,muwe mnaangalia wote itamsaidia kuwa na hamu ya kujifungua salama. Au movies za akina mama wakipambania maisha ya watoto wao katika kuwalea itaweza saidia.
 
Kuna sister mmoja yeye alikuwa mpangaji kwetu. Alikuwa mjamzito na alikuwa anakunywa sana pombe tena kali hizi.

In the end alipata miscarriage. Nae pia alikuja kufa kwa ajali ya toyo akitokea kwenye harakati zake za pombe. Sadly ameacha watoto wawili wakike mmoja alipata ulemavu (5 years old) kwakuwa alikuwepo kwenye hiyo ajali na dada yake ana 10 years.

RIEP Sophia.

Dah Sophia Pole.
 
Mwanamke akishakuwa anatumia pombe ni red flag kubwa sana, hukuiona hii mwanzo sababu shape lilikupagawisha.
Pombe inaenda sambamba na ngono, sigara na mambo mengine machafu.

Mtoto wako kapata mama mzuri sana hongera.
 
Back
Top Bottom