Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi

Habari za sahizi keyboard masters..

Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka wa pili semester ya kwanza.

Kipindi chote hicho sikuwahi kugundua kuwa anatumia sigara wala bangi zaidi ya pombe ambazo tulikuwa tunakunywa pamoja ila ghafla tu tulivyorudi chuo semester ya pili nilienda kumtembelea kwake bila taarifa nikashangaa kumkuta anavuta sigara tena kashikilia pakiti nzima ya Winston Sports.

Sikuongea kitu nikaamua kuondoka badae akanitumia meseji ndefu ya kuniomba msamaha kwa kunificha kipindi chote hiko ila akasisitiza hawezi kuacha hiyo tabia na mimi nikaona isiwe kesi ila nikamuweka kwenye list ya wanawake wa kujipigia pasina kuwa na malengo yoyote ya ndoa huko mbeleni.

Kipindi chote hicho yupo mjamzito nimekuwa nikimsititiza kupunguza matumizi ya pombe na kuacha kuvuta bangi na sigara akanambia kuwa kaacha sigara ila bangi hawezi kuacha kwa kuwa anaamini haina madhara.

Sasa wajuvi wa mambo naomba kujua kama kweli bangi haina madhara kwa mtoto au la na kama ina madhara naombeni ushauri nitumie mbinu gani kumshawishi aache kutumia.

Natanguliza shukurani
Aliyegoma si yeye bali mtoto ndiye anayetaka bangi hivyo mama yake analazimishwa.
 
Sijakuelewa.Ulivyoelewa anavuta sigara na bangi alikuwa tayari mjamzito?
 
Mtoto anazaliwa ndiiii na nishai za ganja toka tumboni.

Mwambue asivute, awe anakula, aipike kwenye ndizi badala ya kuivuta.

Bangi ni dawa lakini si kwa kuvuta.
Kibaiolojia hii imekaaje bi faiza
 
Ninashukuru huko mm nishatoka, huyo sio mtoto wako kusema umbadilishe na vitu viiingi, utatumia muda na wakati mwingi kushughulikia jambo ambalo gumu kwako, weka pembeni tafuta asietumia hata pombe mbona wapo wengi sanaaaaaa
 
Kibaiolojia hii imekaaje bi faiza
Hsin tstixo, mtoto akiikataa hiyo tumboni, mama mwenyewe anaiwacha. Mtoto akiwa maganja, mama lazima aitafute hata kama alikuwa havuti zamani.

Hujasikia wajawaziyto wanakuwa na hamu ya kitu fulani, mpaka wakipate? Yule ni mtoto kuna virutubisho fulani inabidi avipate.

Hapo ndiyo uelewe kuna aliyetuumba, hatujajitokea tu kwa bahati mbaya, we are a very special design.

Bangi ni dawa kubwa sana na ni mmea wenye faida kubwa kwa binadam ukitumika vizuri.
 
Mwanamke yeyote anayevuta mabange au aliyewahi kuvuta ana historia chafu huko nyuma yake, aidha kipindi anaanza kuivuta au alipokuwa kwenye muendelezo wa kuivuta mpaka kuizoea.

Huenda alikuwa na mwanaume muhuni sana ambaye alimfanya aingie kwenye huo mkumbo au alikuwa kundi bovu na baya la namna hiyo. Utakuta mwanamke mmoja, wanaume wanne mpaka saba wamemzunguka wanavuta nae... akishalewa akili inachachamaa na kuwa sio yake tena..., utakuta wahuni wanamkung'uta gangbang, tena both holes! Au wakishalewa mabange na bwana wake ni mwendo wa kuchakatana siku nzima!

Mpaka ukishamuona mwanamke kakubuhu kwenye hayo mabange ujue ana historia chafu nyuma yake.

Ulifanya makosa hata ya kuwa na mahusiano na mwanamke wa namna hiyo, au huenda wote ni watumiaji wa hayo matakataka
Dah! Ukweli unauma

Hivi karbuni tu nimetoka kumtema demu wangu wa Aina hyo nilichoka kuvumilia hyo lifestyle yke ya kihuni baada ya kujiongeza nikawaza kbs huyu kwa mpk hp alipofikia lzm kashabanduliwa sn na wahuni anaodai wasela wake tu kwenye kuvuta hvyo vtu na kudai et Kua muda wte yupo makini

Ogopa mwanamke anaedai kuwa ana friends weng wa kiume kuliko wanawake wenzie kwa kisingizio chao cha kusema kuwa sabab wanaume sio wambea ndio maana anapenda kampani yao

Thats a WHORE
 
Uliniambia una mpango wa kuonja umeanza?
Halafu mkivutaka mzuka wa ile kazi unapanda🤣
NImeacha hayo mambo yaani nimekuwa mama mchungaji hutaamini macho yako😀
 
Habari za sahizi keyboard masters..

Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka wa pili semester ya kwanza.

Kipindi chote hicho sikuwahi kugundua kuwa anatumia sigara wala bangi zaidi ya pombe ambazo tulikuwa tunakunywa pamoja ila ghafla tu tulivyorudi chuo semester ya pili nilienda kumtembelea kwake bila taarifa nikashangaa kumkuta anavuta sigara tena kashikilia pakiti nzima ya Winston Sports.

Sikuongea kitu nikaamua kuondoka badae akanitumia meseji ndefu ya kuniomba msamaha kwa kunificha kipindi chote hiko ila akasisitiza hawezi kuacha hiyo tabia na mimi nikaona isiwe kesi ila nikamuweka kwenye list ya wanawake wa kujipigia pasina kuwa na malengo yoyote ya ndoa huko mbeleni.

Kipindi chote hicho yupo mjamzito nimekuwa nikimsititiza kupunguza matumizi ya pombe na kuacha kuvuta bangi na sigara akanambia kuwa kaacha sigara ila bangi hawezi kuacha kwa kuwa anaamini haina madhara.

Sasa wajuvi wa mambo naomba kujua kama kweli bangi haina madhara kwa mtoto au la na kama ina madhara naombeni ushauri nitumie mbinu gani kumshawishi aache kutumia.

Natanguliza shukurani
IMG-20230710-WA0000.jpg
 
Kaka bangi ina madhara, kwa mama na kwa mtoto, akiendelea kuvuta hizo bangi huyo mtoto atazaliwa na kasoro nyingi.
Hizo chemicals za kweny bangi zikipita kweny placenta zikiingia kweny mwili wa mtoto zinaweza kufanya azaliwe na neurological problems, uzito mdogo, au kufa kabisa tumboni.
Chukia hatua.
 
Kaza kwa sasa ana kiumbe chako,Akizaa mtoto mwenye matatizo ya akili Au lolote lonatokana na ulevi wake baba utahusika kwenye kila matibabu pata picha na uvae viatu Sawa Sawa
 
Back
Top Bottom