Mkuu umeongea point ila hii imenifikirisha sana kutokana na mimi nimezaliwa na kukulia kitaa fulani huku kaskazini ambacho hicho kitaa ni full marijuana na pombe kwa sana....
Yaani hadi nikiwa naenda shuleni nikikaa tu darasani, walimu full kuniandama kwamba haya wewe unaetokea mitaa fulani jibu hili swali???😅 watoto wote darasani wanajeuka wananiangalia, ofcourse nilichukuliwa tofauti sana kutokana na historia ya kwetu, imagine kwenye nyumba ya kwetu mateja kibao kwa wakati huo.... gari ya polisi muda wowote ni king'ora 😅😅
Unakuwa ushamulikwa kwa style fulani mbaya kumbe sikuwahi kuwa hivo hata, utasikia yule nani alizaliwa nao, sijui anamoka shada, sijui anachanja gomba, mara anaufirauni mwingi, mwisho wa siku siyajui hayo.
Umeandika kwa hisia sana....matukio ya ajabu ajabu yapo lakini si kila demu anashindwa kubadilika, wengi wanakujaga kubadilika ila unashangaa hashiki mimba, au ashaugua AIDs (nina dada ambaye ni ndugu, kapata bwana vizuri na katulia afu matokeo yake sasa ndo haya).
Mwisho Mihadarati sio mizuri.