Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi

Aliyegoma si yeye bali mtoto ndiye anayetaka bangi hivyo mama yake analazimishwa.
 
Sijakuelewa.Ulivyoelewa anavuta sigara na bangi alikuwa tayari mjamzito?
 
Mtoto anazaliwa ndiiii na nishai za ganja toka tumboni.

Mwambue asivute, awe anakula, aipike kwenye ndizi badala ya kuivuta.

Bangi ni dawa lakini si kwa kuvuta.
Kibaiolojia hii imekaaje bi faiza
 
Ninashukuru huko mm nishatoka, huyo sio mtoto wako kusema umbadilishe na vitu viiingi, utatumia muda na wakati mwingi kushughulikia jambo ambalo gumu kwako, weka pembeni tafuta asietumia hata pombe mbona wapo wengi sanaaaaaa
 
Kibaiolojia hii imekaaje bi faiza
Hsin tstixo, mtoto akiikataa hiyo tumboni, mama mwenyewe anaiwacha. Mtoto akiwa maganja, mama lazima aitafute hata kama alikuwa havuti zamani.

Hujasikia wajawaziyto wanakuwa na hamu ya kitu fulani, mpaka wakipate? Yule ni mtoto kuna virutubisho fulani inabidi avipate.

Hapo ndiyo uelewe kuna aliyetuumba, hatujajitokea tu kwa bahati mbaya, we are a very special design.

Bangi ni dawa kubwa sana na ni mmea wenye faida kubwa kwa binadam ukitumika vizuri.
 
Dah! Ukweli unauma

Hivi karbuni tu nimetoka kumtema demu wangu wa Aina hyo nilichoka kuvumilia hyo lifestyle yke ya kihuni baada ya kujiongeza nikawaza kbs huyu kwa mpk hp alipofikia lzm kashabanduliwa sn na wahuni anaodai wasela wake tu kwenye kuvuta hvyo vtu na kudai et Kua muda wte yupo makini

Ogopa mwanamke anaedai kuwa ana friends weng wa kiume kuliko wanawake wenzie kwa kisingizio chao cha kusema kuwa sabab wanaume sio wambea ndio maana anapenda kampani yao

Thats a WHORE
 
Uliniambia una mpango wa kuonja umeanza?
Halafu mkivutaka mzuka wa ile kazi unapanda🤣
NImeacha hayo mambo yaani nimekuwa mama mchungaji hutaamini macho yako😀
 
 
Kaka bangi ina madhara, kwa mama na kwa mtoto, akiendelea kuvuta hizo bangi huyo mtoto atazaliwa na kasoro nyingi.
Hizo chemicals za kweny bangi zikipita kweny placenta zikiingia kweny mwili wa mtoto zinaweza kufanya azaliwe na neurological problems, uzito mdogo, au kufa kabisa tumboni.
Chukia hatua.
 
Kaza kwa sasa ana kiumbe chako,Akizaa mtoto mwenye matatizo ya akili Au lolote lonatokana na ulevi wake baba utahusika kwenye kila matibabu pata picha na uvae viatu Sawa Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…