Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

Sasa miaka 25 halafu unajitwisha mizigo mizito kama hiyo... mwenzio baada ya miaka kama nane hivi soko lake linapungua wakati wewe ndio kwanza kunakucha.. muache aende zake akachakarike kama anaona ramani hazisomi.. wewe bado sana kale maisha
 
Binti za namna hii mimba siyo issue, zinaichomoa tu wa si tatizo
 
Huyo mtoa mada si mume bali ni mchumba sugu tu.

Kikubwa ieleweke mwanamke ni opportunistic in nature. Huwa anakaa kwa mwanamume kwa mahesabu kuwa siku moja atatoboa ili aoleww aanze kutumbua maisha. Ikitokea yeye akaanza kutoboa kabla yako that means you are going to be useless to her and she will definately dump you. Hawezi kuendelea kutulia na wewe ili ule hela yake japo ya kwako mlikula wote hawanaga uvumilivu katika hilo.

Another way round ni akitokea mtu ambaye anaona ana muelekeo tayari akamu approach jua chances za wewe kuendelea kum hold ni hafifu mno. Utapigwa chini tu sababu kuna umri ukifika mwanamke anaanza kufikiria mume familia na watoto and mostly ni kati ya ages 24-28 ndani ya hio miaka pressure ni kali sana na akitokea mwenye nia huwa hafikiriwagi mara mbili.

Uchumi imara ndio silaha kamili ya mwanaume katika zama za leo. Money makes the world go round. Money brings power and respect.
 
Kashakalia seat ya Crown Athlete ya HR na kupelekwa viwanja vya Masaki ufukweni kupata dinner. Kashakuwa matawi ya juu hapo anamuona kijana wetu kama bumunda tuπŸ˜„.
 
Anakushangaa miaka 6 bado unashobokea mapenzi
Move on man
Huyo kapata mwingine anakutafutia sababu tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kibuti cha design hio huwa kinaumiza sana meehn. It will take a while kwa jamaa kuamini kuwa kashatoswa and he will cry hard like a baby! Hamna kitu inauma kama mwanamke anakuacha kwa sababu uko broke, ni fedhea kinoma.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamaa ulimkata stimu kinoma huyo dogo.
 
Usijipe stress na mambo yasiyokua na msingi,kama anarudi nyumbani shukuru!
Unadhani hiyo kazi kapata kwa vigezo?wanawake wanapitia mengi!
 
Kijana nipe namba yako ya simu, inayopatikana....
 
20-21 ndio size yake
Hahahah aanze upya hio age ni ya moto sana labda kama anataka atombe tu. Its very risky kufanya plan na demu wa age 18-24 huwa wanabadilika sana sababu wako kwenye foolish age.

14-18 anagongwa na wanafunzi na watoto wenzie wa mtaani.

18-21 demu anagongwa na wahuni au mabishoo walamba lips wale msingi kiuno.

22-24 anagongwa na adults plus agemates na wenye vipato.

25 and above anatafta mtu wa kufanya future nae kutoka kwenye kundi lililokuwa linamkaza kwenye 22-24.
 
😝😝😝Dogo akomae men wengi tumepitia humo humo kuachwa kwa sababu ni broke,tulipomaliza shule tukarudi mtaa

Wengine tulitamkiwa waziwazi,kua wewe sio level yangu tena,utanipausha tu 😝,na simu hakupokelei tena
Na anakuuliza umesahau nini kwangu πŸ˜€

Hawa viumbe wa kike ni hatari pindi wafanikiwapo

Dogo aendelee na maisha mengine,ajipambanie awin
 
Ila wanachotufanyia wanawake siku hizi ni dhuluma za wazi.
Yes , it's their nature kwamba mwanamke kuishi na mume yuko kwaajili ya fursa ila siku hizi wamezidi hawana hata chembe ya aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…