Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

We unashangaa hilo. Mimi kuna huyo mmoja nilidumu for 2 years na tulikua na mipango ya kufunga ndoa na mpaka huku JF nilikuja kuomba ABC za ukoo wao kabla sijaingia kwenye ndoa.
Baadae niliachana nae na akaolewa ndani ya mwaka mmoja na katika post yake ya ndoa aliandika after 10 years of relationship hatimae tumeoana. Can you imagine?
 
N
Binti anakupenda bado

Pole sana kijana,utakuwa sawa.
Nna scenario kama ya kwako...kaolewa kwa mbwembwe Hadi picha ya kitanda Cha asali ya mwezi nikatumiwa....Sasa hivi Wana maugomvi Kila kukicha ni kukuta mgs za mme ananilalamikia kuwa namjaza mkewe Kwan hamuheshimu...na mbaya Zaid mke anacomplements mengi tuliofanya mazur huku akimpondea jamaa ..nlishawasihi mambo yao wamalize wenyew cz Sina mawasiliano yyte na huyo ex...
 
Dah aya maisha unaweza anza ongea peke yako
 
Sema 2009 to 2022 mbona ni muda mrefu sana aisee mkuu
 
Tulijuana hiyo 2009 yeye yuko form 3 na Mimi nilikuwa kazini watoto wa matajiri huwa wanakuwa na tour studies niliwapokea kule nilikokiwa miaka miwili tena akarudi mpaka alivyoenda chuoni tukawa na mawasiliano na mambo mengi sana yalipita
Aisee kitambo sana kama 2009 ulikuwa umeajiriwa mkuu wewe ni mbabu kabisa 🤣
 
Mkuu kuna mambo mengine yaache tu, mimi nimeijua JF nikiwa 15 kipindi ambacho Internet haijakuwa kwa hivi ambavyo ilivyo leo, kuna mambo nilikuwa nagoogle na ikawa inanletea majibu mbalimbali kutoka JF.

2011 nikajiunga rasmi JF ila nilikuwa msomaji zaidi jukwaa la Tech na Sports. Kuna wengine ktk udogo wetu tulikuwa na access na mambo ya internet kutokana na familia tulizolelewa.

Nikiwa standard 5 miaka hiyo nilipelekwa Computer Course. Mpaka naandika comment hii nipo below 32.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…