Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
We unashangaa hilo. Mimi kuna huyo mmoja nilidumu for 2 years na tulikua na mipango ya kufunga ndoa na mpaka huku JF nilikuja kuomba ABC za ukoo wao kabla sijaingia kwenye ndoa.
Baadae niliachana nae na akaolewa ndani ya mwaka mmoja na katika post yake ya ndoa aliandika after 10 years of relationship hatimae tumeoana. Can you imagine?
 
N
Binti anakupenda bado

Pole sana kijana,utakuwa sawa.
Nna scenario kama ya kwako...kaolewa kwa mbwembwe Hadi picha ya kitanda Cha asali ya mwezi nikatumiwa....Sasa hivi Wana maugomvi Kila kukicha ni kukuta mgs za mme ananilalamikia kuwa namjaza mkewe Kwan hamuheshimu...na mbaya Zaid mke anacomplements mengi tuliofanya mazur huku akimpondea jamaa ..nlishawasihi mambo yao wamalize wenyew cz Sina mawasiliano yyte na huyo ex...
 
We unashangaa hilo. Mimi kuna huyo mmoja nilidumu for 2 years na tulikua na mipango ya kufunga ndoa na mpaka huku JF nilikuja kuomba ABC za ukoo wao kabla sijaingia kwenye ndoa.
Baadae niliachana nae na akaolewa ndani ya mwaka mmoja na katika post yake ya ndoa aliandika after 10 years of relationship hatimae tumeoana. Can you imagine?
Dah aya maisha unaweza anza ongea peke yako
 
Ganga yajayo Mkuu inauma sana, Kuna Binti nilijuana naye toka mwaka 2009 na tulikutana sehemu tofauti na tukajikuta tumetengeneza upendo kabisa. Upendo usio kuwa na chembe ya uoga. Na yeye alikuwa wa kwanza kunipeleka kwao na alikuwa anafosi sana niende. Aisee nilioneshwa heshima ya juu na Binti aliandaa chakula cha asili yetu Wanyantuzu, Makande yale magumu kama ugali. Mlenda na ugali wa dona na Mziwa wa Mtindi. Nikala na Mshua wake mezani, Aisee ile moment imechukua muda mrefu kunitoka. Cha kushangaza alipata kazi mkoa tofauti eeh na mawasiliano yakawa mabovu mara hapokei, mara anajibu kikauzu sana. Heeeh Mwaka 2022 Nov naona kwenye status yake Ameshakuwa Mrs Somebody. Wanawake wana mipango zaidi ya milion kichwani
Sema 2009 to 2022 mbona ni muda mrefu sana aisee mkuu
 
Tulijuana hiyo 2009 yeye yuko form 3 na Mimi nilikuwa kazini watoto wa matajiri huwa wanakuwa na tour studies niliwapokea kule nilikokiwa miaka miwili tena akarudi mpaka alivyoenda chuoni tukawa na mawasiliano na mambo mengi sana yalipita
Aisee kitambo sana kama 2009 ulikuwa umeajiriwa mkuu wewe ni mbabu kabisa 🤣
 
Asa kwanini unataka nikuamini wewe!??

Timeline ya JF inakataa .
Haiwezekani ujiunge hapa 2010 uwe below 35+..
Yani hiyo ni natural placement. Hutaki baki hivyo hivyo...
Wa 2006 mpaka na 9 hao ndo kabisa 43+.
It's natural placement kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na population gani kwa wakati gani had the access to cyber world.
Mkuu kuna mambo mengine yaache tu, mimi nimeijua JF nikiwa 15 kipindi ambacho Internet haijakuwa kwa hivi ambavyo ilivyo leo, kuna mambo nilikuwa nagoogle na ikawa inanletea majibu mbalimbali kutoka JF.

2011 nikajiunga rasmi JF ila nilikuwa msomaji zaidi jukwaa la Tech na Sports. Kuna wengine ktk udogo wetu tulikuwa na access na mambo ya internet kutokana na familia tulizolelewa.

Nikiwa standard 5 miaka hiyo nilipelekwa Computer Course. Mpaka naandika comment hii nipo below 32.
 
Back
Top Bottom