Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

tafuta hela babu achana na huo ujinga. she never loved you elewa tu hivyo.
 
You are just a fuckin.. fool bro.

Ulikuwa una mahusiano na mtarajiwa wa watu for four good years. Na huo ugomvi wa August was staged. Ili muachane, aweze kuolewa.

Unakuaje na mahusiano na mchumba wa watu na usitambue? Akili umeelekeza kwenye matoleo mapya ya magari pekee?


Just take it in, my friend. You’re meant for a hard conclusion.

 

Au nipotezee tu? Ila kwann kafanya ivi
Potezea tu mkuu
Let her go
Wanawake ndivyo walivyo
 
Pole sana. Ilaaaaa.... ndio nini kumuweka mwenzio miaka 4 yote? Aliona huelekei akaambaa na aliyeserious maisha yaendelee. Ni mwanamke, mayai yake haya subiri. Amepoteza 4 years of her fertile life kukusubiri.

Ewe mwanamke, mwanamme ni miezi 3 mpaka mwaka 1, ikizidi sana miwili awe amekuweka ndani. Kama hamna, kimbia usigeuke nyuma, anakupotezea wakati
 
Najua akili haipo stable kwa sasa cha kukushauri kwa haraka haraka kwanza kabisa usifanye maamuzi yoyote ya kujibu izo jumbe zake.
 
Alikua chuo, kamaliza tu chuo ndio imetokea hivo, ata graduu bado ni November,
 
Come on man! Don’t be a simp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…