Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Piga calculation una mdai kiasi gani kisha msogezee mkeka
 
Km kuna mpera hapo karibu mkuu chukua ushauri huu sogea angalia km una mapera anza kuchuma moja moja tafuna huku ukiwa unaendelea kutafakari vizuri, nna hakika km mapera yapo mengi huwezi kuyamaliza yote ukishashiba najua utakua ushajua nini cha kufanya
 
Mwezi wa 8 mgombane Leo mwenzio ni mrsD...huoni huyo Tyr alikuwa na mtu wake na wewe ulikuwa ni wa kuzugia tu.

Acha ufala...hata km ungeoa bado angepigwa nje na huyo jamaa.
Nimeamini hivo, watakua walianza kujuana akiwa na mimi, sana sana mwaka huu 2024 coz kuna redflags nilianza kuziona ila nikajua najishtukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…