Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Amini huyo dada baada ya mwaka jamaa atamuweka akitaka, yaani akitaka atamuweka. Tunawafaham sana nyie watu.
Kitendo cha mwanamke kutoa taarifa kuwa kaolewa ni ishara nzuri kwa mtoa mada hata huko whatsup inawezekana aliyechat nae kapangwa nae, huyu binti ni mwepesi kumkomoa, angekutana na vichwa sie😂😂😂 angelia kuzidi hapa

Nashukuru nilishawahi kutoa mtu machozi stendi alilia kama mtoto tena miaka 45 mnatuchukulia poa ila mkipatwa vilivyo hamna pa kuchomokea
 
1728918375235.png
 
Back
Top Bottom