Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

hii kitu nashauri vijana wapiti wakati wako kidato cha tatu itawasaidia sana ukubwani
Hii ni kweli, haya mambo yakikufuma katika age ya kujenga future unaeza anguka mazima na usinyanyuke kamwe ni muhim kumalizana nayo mapema wakati ambao unakula na kulala bure ukihudumiwa tu na masomo bado ikiwa nyepesinyepesi kwanza unaogopa ukijinyoja usife utachezea bakora na kufukuzwa nyumbani.🤣
 
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
Mwezi wa 8 ndio misunderstanding zimeanza so mpaka now ni almost 2 months.

Ndani ya 2 months amepata jamaa na anataka kuolewa.

Nisamehe mkuu maana cjui nataka kusema nin ila seems like she dates with that dude for a while.

Chakufanya pull yor sh*t together then fanya twende kwenye harusi tukale mchele na baada ya miezi 3 atakutafuta mwenyewe na kiporo utapasha😎
 
Heshimu mke wa mtu .
 
Asa kwanini unataka nikuamini wewe!??

Timeline ya JF inakataa .
Haiwezekani ujiunge hapa 2010 uwe below 35+..
Yani hiyo ni natural placement. Hutaki baki hivyo hivyo...
Wa 2006 mpaka na 9 hao ndo kabisa 43+.
It's natural placement kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na population gani kwa wakati gani had the access to cyber world.
Siyo lazima. Nimeanza kuifuatilia JF kama guest tangu 2012 nikiwa O-level. Nimejiunga 2016 nikiwa mwaka wa pili Chuo Kikuu... And I am just below 30.
 
Hii ni kweli, haya mambo yakikufuma katika age ya kujenga future unaeza anguka mazima na usinyanyuke kamwe ni muhim kumalizana nayo mapema wakati ambao unakula na kulala bure ukihudumiwa tu na masomo bado ikiwa nyepesinyepesi kwanza unaogopa ukijinyoja usife utachezea bakora na kufukuzwa nyumbani.🤣
ndio mana huku uzeeni tunashuhudia waliopitia masomo shule za seminari ndio wahanga wakubwa kimapenzi

vijana wanze kuchukua uzoefu mapema hii itawajengea ukakamavu
 
Kuna elites wamekuwa na internet makwao, hawajaikutia chuo
Nikiwa sekondari nilipata rafiki mzungu. Nikawa ninaenda internet cafe kila mwezi mara moja au mbili unalipia 1,000/- kwa kila dakika 30. Nikimaliza kujibu email ninaanza kushangaa JF kama guest muda mwingine unaangalia mambo yanayosumbua wakati wa balehe. Anafikiri kwa kuwa yeye akiwa mdogo hakuwa na exposure ya internet basi wote ni hivyo.
 
ndio mana huku uzeeni tunashuhudia waliopitia masomo shule za seminari ndio wahanga wakubwa kimapenzi

vijana wanze kuchukua uzoefu mapema hii itawajengea ukakamavu
Mimi nimekua mkongwe kias nikikutqna na dela nachukuq siku moja tu kumsoma na kutabir mwisho wake kimapenzi na mimi.
Nimeanza kupenda tangu Primary na kudate uko uko yani ile mpaka naingia chuo basi ni nyege tu nimeshindwa kuzimaliza ila mambo ya Upendo hiyo stage nishatoka kabisa ko ni mwendo wa kubutuana tu.
 
Mwezi wa 8 ndio misunderstanding zimeanza so mpaka now ni almost 2 months.

Ndani ya 2 months amepata jamaa na anataka kuolewa.

Nisamehe mkuu maana cjui nataka kusema nin ila seems like she dates with that dude for a while.

Chakufanya pull yor sh*t together then fanya twende kwenye harusi tukale mchele na baada ya miezi 3 atakutafuta mwenyewe na kiporo utapasha😎
Ni kweli alikuwa na huyo jamaa bado akiwa na wewe.
La sivyo ni mtu wa kukurupuka, muda mfupi hivyo huwezi kufanya uhamuzi mkubwa hivyo dhidi ya mtu mgeni kwako.
Au mtu wa kisasi sana.
Either way she was not the right woman for you. Haijalishi nani alikuwa amemkosea mwenzie.
 
Mimi nimekua mkongwe kias nikikutqna na dela nachukuq siku moja tu kumsoma na kutabir mwisho wake kimapenzi na mimi.
Nimeanza kupenda tangu Primary na kudate uko uko yani ile mpaka naingia chuo basi ni nyege tu nimeshindwa kuzimaliza ila mambo ya Upendo hiyo stage nishatoka kabisa ko ni mwendo wa kubutuana tu.
uzoefu ndio msingi popote pale mimi imefika hatua binti nikiona anataka kujileta namwambia ukweli asipoteze muda nitamkatili kihisia bure asipoteze muda wake kutafuta uhusiano na mtu ambae kaweka pete ya ndoa mfukoni kwani itamumiza kichwa vibaya sana
 
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
Max, na wewe unalilia Mwanamke ?

Kila siku tunasema wanawake hawana Akili, hata huyo aliyemchukua nae anaweza kumwacha...

Ndio maana mapepo yanawafata sana, hayana akili Vizuri.

SIYO YOTE LAKINI...
 
uzoefu ndio msingi popote pale mimi imefika hatua binti nikiona anataka kujileta namwambia ukweli asipoteze muda nitamkatili kihisia bure asipoteze muda wake kutafuta uhusiano na mtu ambae kaweka pete ya ndoa mfukoni kwani itamumiza kichwa vibaya sana
Hiyo ni Terminal stage ya Mapenzi, yani moyo ushakufa.🤣
 
Back
Top Bottom