Pa-Paa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 916
- 1,363
Sawasawa kabisa, ukiona hujajinyonga wala kunywa sumu hii ya kwanza basi jipige kifua kisha tembeza rungu.hio ni kweli ukishavuka kiunzi cha mjinga moja hawa wengine ni mswaki tuh wewe unabaki kujiambia yaleyale kisha unasonga mbele