Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipenda sana matokeo yake ndio huwa hivyo mkuu.Sijawahi tegemea ninja mimi nitaumia hivi
PointMwanamke muda wake upo limited and calculated.
Hivyo wakati we unampa ahadi za kumuoa , anaweza kutokea MTU siku hiyo akatoa mahari na kumvisha Pete na kumuoa.
So usiwe too judgmental Kuwa kwanini umeachwa .
Hapo ni jufanya detachment na kushukuru .
Na Kama ulikuwa unampenda kweli hauwezi kusikia maumivu yoyote .
Maana MTU anayempenda lazima pia utapenda kuona na mafanikio yake.
Wewe haukufanikiwa kumuoa Ila wengine wamemuoa so nikumtakia ndoa njema .
Huo wivu unatokana na ile hali ya ubinafsi ya kujimilikisha MTU kitu ambacho sio sahihi.
Hizi hesabu zako za kihasibu kama za OKW BOBAN SUNZU nazipinga, first time naijua jf ilikuwa 2009, rasmi nilijunga jf 2011 na hadi sasa nipo bellow 30. Na hapo niliijua jf kupitia primary classmate ambae hatujapishana umri, miaka hiyo alikuwa na blackberry aliletewa kutoka amerika, kila nikiishika nakuta yupo jf na ndio ukawa mwanzo wa mimi kuvutiwa na kutaka kuijua jf.Asa kwanini unataka nikuamini wewe!??
Timeline ya JF inakataa .
Haiwezekani ujiunge hapa 2010 uwe below 35+..
Yani hiyo ni natural placement. Hutaki baki hivyo hivyo...
Wa 2006 mpaka na 9 hao ndo kabisa 43+.
It's natural placement kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na population gani kwa wakati gani had the access to cyber world.
Maisha ya sasa ni kuviziana. Kuna wanawake waliwavumilia wanaume kwa miaka hata 8 Ila wakaachwa na akaolewa mwingineMkuu Mad Max pole sana, wanawake ni watu wako makini kwa kujiwekea security , unaweza ukawa naye kwenye serious r/ship ila pembeni ana wanaume hata 5 kama back up plan yake incase lolote likitokea, kwa dunia ya leo ni bora kuwa na watoto tuu uwatunzs vizuru, huku ukiomba neema ya Mungu akulinze wewe pamoja na watoto wako, Swala la ndoa kwa miaka hii sishauri kabisa.
Huyo demu wako ameonyesha wazi hakukaa kizembe.
Ni wewe huyu au uliporwa simu?😅Wewe si kataa ndoa? Acha tu aolewe kwingine.
SikaziiAcha nikuibie siri, mimi kuna mtoto nilimwacha ila sasa kanona , ikabidi mpaka nimblock wasp yake alikua ananirusha roho kinyama, na mimi nilivyo na kiburi nikawa sijigusi hata, ila akazidisha nikamlima kadi nyekundu chap😅😅😅
Asa wewe unachoumia nn apo😆kakupa ukwerAm loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Maswala ya unyonge yashapitwa na wakati.We jamaa 😁😁😁😁
Unatoa mbinu za kikatili
Nna matusi yako nimetuma kwa sanduku la posta 😂😂😂 Akasikilize hii nyimbo alie weee kukikucha atakua fresh.
Kwenye situation kama hizo hakuna jibu zuri kama ukimya. Mtu yoyote anaetaka uumie kwa kukudhihirishia wazi wazi inamaanisha bado anakukubali hivyo, usipompa reaction inamtesa sana kuliko kitu chochote kiakili. Mad alikosea kumjibu. Angemuacha tuMaswala ya unyonge yashapitwa na wakati.
Ukipiga Kofi la kushoto,
hatukugeuzii shavu la kulia.
Tunakupiga ngumi ya uso,
Tunasindikizia na teke la shingo
Mjomba wako huyo mkuu 😂 na mjomba ni mama.Aisee kitambo sana kama 2009 ulikuwa umeajiriwa mkuu wewe ni mbabu kabisa 🤣
Akili kubwaKwenye situation kama hizo hakuna jibu zuri kama ukimya. Mtu yoyote anaetaka uumie kwa kukudhihirishia wazi wazi inamaanisha bado anakukubali hivyo, usipompa reaction inamtesa sana kuliko kitu chochote kiakili. Mad alikosea kumjibu. Angemuacha tu