Hakunaga hela inayoganda hewani kweny hio miamala, Imepewa tu jina la mpesa master card lakini mwenye nayo ni benki inaitwa banc abc. Kwa ambao tuna uzoefu na hizi ishu kwa miaka mingi tunajua tatizo lipo kwa alienunua hivyo vitu.
Mzoefu hawezi nunua vitu kwa njia kavu kadi ichajiwe direct lazima atymie ngao ya paypal,
Hakuna pesa pending hapo, matapeli washaichomoa
Nampa pole aliefanya muamala siku nyingine ahakikisha anatumia paypal, Pia nina wasi wasi kwanini haweki wazi software aliyotaka knunua na website yake, Yawezekana kabisa haio software ilikua wameaminisha watu inatengeneza pesa bila jasho ukiinunua [emoji16][emoji16] ndio njia wanazotumiaga kunasa wengu