AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
- Thread starter
-
- #21
Nimesha vote sasa ashinde alafu alete dharau...
lazima king abebe
Kwani simba hayupo? Natamani kumpigia kura.Acha nimpigie kura Ali kiba hapa sio yule anaejiita Simba niwaachie majangili kumwinda.
hahahaAcha uchochezi mkuu, Diamond na Alikiba wote ni vijana wetu, tunapofika kwenye suala la utaifa tuweke itikadi za uteam pembeni.
Nisha -mvote -a KibaNtavote mara 200 kabla sijalala kila siku
Nimeipenda avatar....hahaha
hahahahha Msamehe bana, leo wamekumbuka uzalendo hahahaUna kumbuka hii post, ngojea nikuonyeshe ulivyochangia Shardcole huko chini ndio ulivyochangia je na wenzako wakufanya kama ww utajisikiaje, hujui sisi watz tumekuwa shaped na usimba na uyanga, nazani uliona mazembe walicheza na yanga, simba waliwasupport yanga, sasa nyinyi ndio mliozipalilia hizi timu, na ndio maana nilikuambia ww hustaili kufungua huu uzi kuhamsisha watu wampigie kura kutokana na UPUUZI na UPUMBAVU wako na najua watu wengi wa upande wa pili watampigia wizkid, kama nyinyi mlivyompigia, Kuna maswala tunatakiwa tuwe wa moja kama tunavyofanyaga big brother
View attachment 409099
huyu dogo lofa sana......Vip wenzako wakifanya kama ww